Mungu awasaidie wapanda daladala

Na ikikupendeza uwe una jiwekea ka utaratibu ka kupanda walau mara 3 kwa mwezi utanishukuru baadae..
 
Acha kuigiza maisha, wasiopanda daladala hata kama gari yake ina tatizo anarequest Bolt au bajaj.
 
Kama wewe ni mwanaume basi n hasara
 
Mungu atusaidie kwa kweli daladala ni shida tupu hata upate siti atapanda wa kusimama atakuegemea na wakati wa kushuka shughuli pevu............. daladala jaman haswa kwa Dar ni mateso mnbo
 
Zile za kuumiza pua zinanishindaga kwakweli nashindwa kukaa karibu na huyo mtu ila sijasema za tsh200πŸ˜‚
 
Mungu atusaidie kwa kweli daladala ni shida tupu hata upate siti atapanda wa kusimama atakuegemea na wakati wa kushuka shughuli pevu............. daladala jaman haswa kwa Dar ni mateso mnbo
UKute umekaa alafu jamaa kabeba beg lake na kuegemea πŸ˜…πŸ˜…kero sana na haoni shida hata umuoneshe ishara
 
lkn sasa tatizo kubwa n ww kuishi huku jalalani nchi ya ulimwengu wa3 tafadhal nenda kwa wenzako huko nchi za ulimwengu wa 1 huku tuachie sisi tulozoea sawa ndugu.......ujuaji mwingi.
 
Umepanic kaka come down
 
Mungu atusaidie kwa kweli daladala ni shida tupu hata upate siti atapanda wa kusimama atakuegemea na wakati wa kushuka shughuli pevu............. daladala jaman haswa kwa Dar ni mateso mnbo
Halafu watu wote wanajazana mlangoni kusogea nyuma hawataki hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…