Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kuigiza maisha, wasiopanda daladala hata kama gari yake ina tatizo anarequest Bolt au bajaj.Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Kwa nini?Daladala ni umasikini mkubwa sana
Kama wewe ni mwanaume basi n hasaraNina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Zile za kuumiza pua zinanishindaga kwakweli nashindwa kukaa karibu na huyo mtu ila sijasema za tsh200😂Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
UKute umekaa alafu jamaa kabeba beg lake na kuegemea 😅😅kero sana na haoni shida hata umuoneshe isharaMungu atusaidie kwa kweli daladala ni shida tupu hata upate siti atapanda wa kusimama atakuegemea na wakati wa kushuka shughuli pevu............. daladala jaman haswa kwa Dar ni mateso mnbo
lkn sasa tatizo kubwa n ww kuishi huku jalalani nchi ya ulimwengu wa3 tafadhal nenda kwa wenzako huko nchi za ulimwengu wa 1 huku tuachie sisi tulozoea sawa ndugu.......ujuaji mwingi.Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu ambayo haielezeki kama afya yako mgogoro unajikuta upo hospitali. Mungu awasaidie wapanda daladala wana hali ngumu sana.
Kumiliki Subaru ndo kupanda juu? Hata cc tunamiliki miguuMungu akikupandisha juu usiwadharau waliochini......unaweza kujikuta umerudi kundini !!
Umepanic kaka come downlkn sasa tatizo kubwa n ww kuishi huku jalalani nchi ya ulimwengu wa3 tafadhal nenda kwa wenzako huko nchi za ulimwengu wa 1 huku tuachie sisi tulozoea sawa ndugu.......ujuaji mwingi.
Akikusogelea na wewe unasogea mbali 😂 wenyewe sijui haziwaumizi puaZile za kuumiza pua zinanishindaga kwakweli nashindwa kukaa karibu na huyo mtu ila sijasema za tsh200😂
Halafu watu wote wanajazana mlangoni kusogea nyuma hawataki hahahahaMungu atusaidie kwa kweli daladala ni shida tupu hata upate siti atapanda wa kusimama atakuegemea na wakati wa kushuka shughuli pevu............. daladala jaman haswa kwa Dar ni mateso mnbo
Mara 3 kwa mwezi? Unitakii mema weweNa ikikupendeza uwe una jiwekea ka utaratibu ka kupanda walau mara 3 kwa mwezi utanishukuru baadae..
Kwakweli sijui huwa wanajiskiaje ,Akikusogelea na wewe unasogea mbali 😂 wenyewe sijui haziwaumizi pua
Mwendo kasi toka uanze sijawahi kupanda nitapanda siku moja nisafishe machoMwendo kasi
Subaru ndo nini?Usitukane mamba wewe iyo Subaru isikupe jeuri.
Hakuna mtu anazoea shida sema hauna namna ni lazima upandepole mkuu,si tushazoea
Niliiweka kichwani 😁Kama hakuna pakuweka mguu,sasa wewe miguu yako uliiweka wapi?
😀