Mungu aweza kukutoa kwenye hiyo shida!

Mungu aweza kukutoa kwenye hiyo shida!

wewe hufai hata kujibiwa. hueleweki.
Sasa kama unajibu wanoelewa au wanaoeleweka hupaswi kuwa mwalimu... wapi haujaelewa nikueleweshe.... Kwa ufupi katika andiko lako ulilonijibu unajipinga mwenyewe mimi nilichofanya ni kukuonyesha kwamba unachoongea hakina mtiririko.... putting faith aside....
 
ungelikua umesoma vizuri ungeelewa kuwa nimesema nimeweka tabia chache tu zinazoendana na hoja ya leo,
Haijalishi umeweka nini ila unachoweka kinajipinga chenyewe
hoja ya Kuamini kile Mungu amekisema. ndio maana tunasema muokoke msiabudu dini, ili mpate Nguvu za Roho Mtakatifu awasaidie kutafsiri.
Hayo ni mambo ya Imani na kila mtu anaamini kivyake wala siwezi kubishia mtu Imani yake sababu kwake binafsi ndicho anachoamini mimi nachoongelea huwezi kuniambia mstari wa kwanza kwamba ni nyeusi alafu wa pili ukasema ni nyeupe mwishoni useme zote zilikuwa nyekundu alafu nikubaliane na wewe...,
 
Ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA.

Tusiache kutoa fungu la kumi
 
Hayo ni maneno ya kujifariji tu, hakuna wakukutoa kwenye chochote usipochukua hatua dhabiti.
Mkuu taratibu basi, usiseme hivyo tu ukaishia hapo. Dunia tambala bovu unaweza ukajikuta sehemu ambapo izo hatua zako thabiti unazijua, unataka kuzifanya, na huzifanyi na unaumia kabisa kutozifanya na baada ya muda mfupi unarudi kuendelea pale pale ulipoishia, ambapo hupapendi na panakuumiza. Aisee em fanya tafiti kidogo bhana maisha sio black and white kama unavyosema hapa. Ukiwa hivyo shukuru Mungu mzee umefika mpaka hapo salama. Watu wanapitia mambo mkuu..
 
Zipo sababu za watu kupitia mambo iwe ni shida ama raha na ndio maana halisi ya maisha , maisha ili yawe maisha changamoto lazima ziwepo , shida au raha hazithibitishi uwepo wa Mungu kwa namna yoyote ile zaidi ya kuleta tu mkanganyiko zaidi.
 
Mnajichosha tu kubishana mana hakuna anayeweza kuthibitisha kuwa MUNGU yupo ama hayupo apa mnabishinia Imani zenu tu
 
Back
Top Bottom