TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
Ninaye kama huyu namuita Makonda. Hanenepi na kuna muda anakula vitoto vyake. Muoga balaa.Mbwa wa Taifa
View attachment 3665516
Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi.
Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
Papapo kitalembwa tunataka apigwe upper cut, chembe, kidevu mtu ateme tambuu, muhogo aseme muhohoPale penye kidonda sio ?
Kweli huyo ni Paul Makonda hasa, a.k.a BASHITENinaye kama huyu namuita Makonda. Hanenepi na kuna muda anakula vitoto vyake. Muoga balaa.
Mjomba watu wabaya hawafi mapema. Kama huamini subiri uone.Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Mungu fundi, anawaacha wateseke kwanza. Salmin Amour Juma alikuwa anajiita Komando, katili, mnyama n amshenzi kupitiliza, Mungu kampofusha macho, mtoto wake mmoja alikamatwa ana genge la vibaka wanaiba vifaa kwenye magari.Mjomba watu wabaya hawafi mapema. Kama huamini subiri uone.
this is,Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Ndio yamepokewa sasathis is,
nonsense and satanic prayer of the day 🐒
ok.pepo🐒Ndio yamepokewa sasa
Siku hiyo waarabu wa Macca wataomba Ile mito ya Pombe ya peponi ifunguliwe kwa muda na mabikra 72 kila mmoja apewe wamalawi washerehekee.Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Wanawaza mbunye tuSiku hiyo waarabu wa Macca wataomba Ile mito ya Pombe ya peponi ifunguliwe kwa muda na mabikra 72 kila mmoja apewe wamalawi washerehekee.
Wahenga husema hivyo eti wakimaanisha kwamba ni mpaka wamalize akiba yote ya ubaya wanaoumiliki (store inakuwa tupu) halafu ndo wanaanza kula kupokea matunda ya ubaya waliotenda. Cjui kama kuna ukweli wowote hapo.Mjomba watu wabaya hawafi mapema. Kama huamini subiri uone.
DuhWahenga husema hivyo eti wakimaanisha kwamba ni mpaka wamalize akiba yote ya ubaya wanaoumiliki (store inakuwa tupu) halafu ndo wanaanza kula kupokea matunda ya ubaya waliotenda. Cjui kama kuna ukweli wowote hapo.
Mwansasu weok.pepo🐒