Mungu bado hajapiga panapouma, tunamuomba Mungu apige kwenye mshono. Wamalawi hilo ndio ombi letu

Mbwa wa Taifa
1788829876817.jpeg

Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi.
Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
 
Mbwa wa Taifa
View attachment 3665516
Mbwa wa taifa hata ukimlisha vipi hanenepi, na hata ukimnyima chakula hakondi.
Hii brand ya mbwa inaitwa Toyota, 1KZ engine. Utakufa wewe utamwacha mbwa wa taifa anadunda
Ninaye kama huyu namuita Makonda. Hanenepi na kuna muda anakula vitoto vyake. Muoga balaa.
 
Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Mjomba watu wabaya hawafi mapema. Kama huamini subiri uone.
 
Mungu fundi, anawaacha wateseke kwanza. Salmin Amour Juma alikuwa anajiita Komando, katili, mnyama n amshenzi kupitiliza, Mungu kampofusha macho, mtoto wake mmoja alikamatwa ana genge la vibaka wanaiba vifaa kwenye magari.

Juzi hapa kapigwa kiwanja, mtoto wake kaghushi nyaraka, kakiuza USD. 4,000,000/- Kawe Beach.

Analialia asaidiwe.
 
Off target zinakuwa nyingi sana sijui nani yuko hapo anambadilishia list chini juu, juu chini
 
Duh ningekua mie ndo yule maza ningejiuzulu mana sio kwa kashfa hizi
 
Haya ndio maombi ya Wamalawi wengi. Aguse lile kinda maarufu la kiume, watu washerehekee. Na yeye aonje uchungu wa wale wamama zaidi ya 10'000 wa Lilongwe, Blantyre, Karonga na Muzuzu waliopotelewa na wapenzi wao kwa amri ya Kiranja Mkuu
Siku hiyo waarabu wa Macca wataomba Ile mito ya Pombe ya peponi ifunguliwe kwa muda na mabikra 72 kila mmoja apewe wamalawi washerehekee.
 
Mjomba watu wabaya hawafi mapema. Kama huamini subiri uone.
Wahenga husema hivyo eti wakimaanisha kwamba ni mpaka wamalize akiba yote ya ubaya wanaoumiliki (store inakuwa tupu) halafu ndo wanaanza kula kupokea matunda ya ubaya waliotenda. Cjui kama kuna ukweli wowote hapo.
 
Duh
 
Back
Top Bottom