Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Una elements za kupakwa KY ww cio bure
 
wengi wao ni vikojozi,na wengi wao wana magonjwa ya kurithi kama vile pumu,sickle cell,usihadaike na muonekano wa nje;ikuchukue muda kumfahamu mtu vizuri usije uka umia.
kwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!
sasa kwa taarifa yako nao ni watu kama wewe usipende kunyanyapaa watu namna hyo aisee !hujafa hujaumbika
 
Ili wahi kuletwa mada humu kuwa mdomo wa mwanamke ulivyo ndio papuchi yake ilivyo..
Sasa kama ni kweli daa..sipati picha[emoji15] [emoji15]
 
kwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!
sasa kwa taarufa yako nao ni wartu kama wewe usipende kunyanyapaa watu namna hyo aisee !hujafa hujaumbika
Aisee mimi kanichanganya sana ujue mama yangu alikuwa anasumbuliwa na pumu na ndo ugonjwa uliomunondoa dunian RIP MOMY

Lakin hajui alisemalo
 
Chai hii afu hata sio tamu imekuwa chai kahawa.

MTU umeone tu kwenye jam,tena Upo garini lakini ukampiga picha matata namuna hii,hapana hakuna kitu kama hii.
Mkuu wewe ni thomaso siyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…