kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Aah London baby wapi Hamisa Mobeto??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!wengi wao ni vikojozi,na wengi wao wana magonjwa ya kurithi kama vile pumu,sickle cell,usihadaike na muonekano wa nje;ikuchukue muda kumfahamu mtu vizuri usije uka umia.
Ili wahi kuletwa mada humu kuwa mdomo wa mwanamke ulivyo ndio papuchi yake ilivyo..Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319
Aisee mimi kanichanganya sana ujue mama yangu alikuwa anasumbuliwa na pumu na ndo ugonjwa uliomunondoa dunian RIP MOMYkwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!
sasa kwa taarufa yako nao ni wartu kama wewe usipende kunyanyapaa watu namna hyo aisee !hujafa hujaumbika
pole kwakuondokewa na mama!mimi too nina pumu !ila nalidhibiti kindakindaki nwAisee mimi kanichanganya sana ujue mama yangu alikuwa anasumbuliwa na pumu na ndo ugonjwa uliomunondoa dunian RIP MOMY
Lakin hajui alisemalo
Acha tu aiseeView attachment 669319