Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

pole kwakuondokewa na mama!mimi too nina pumu !ila nalidhibiti kindakindaki nw
asante sana wangu bora ufe wewe lakin siyo momy inauma sana

Pole sana kwa huo ugonjwa wangu ni mbaya sana unajua momy alikuwa nao toka akiwa mdogo hivyo ilikomaa sana na kupelekea moyo kupanuka mwisho wa siku ndo hivyo tena. Pole sana pambana nayo sana wangu na mungu akubalik sana kipenz
 


asante!
 
Kazi ipo mwaka huu!
Na hk kizaz kitapita ila Agano lake litakuwa na vitabu vng sn.
 
kwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!
sasa kwa taarifa yako nao ni watu kama wewe usipende kunyanyapaa watu namna hyo aisee !hujafa hujaumbika
sio kila king'aacho ni dhahabu nilionya juu ya tabia ya kushabikia vitu juu juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…