Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio puti mkuu?kazi ya make-up hiyo
asante sana wangu bora ufe wewe lakin siyo momy inauma sanapole kwakuondokewa na mama!mimi too nina pumu !ila nalidhibiti kindakindaki nw
asante sana wangu bora ufe wewe lakin siyo momy inauma sana
Pole sana kwa huo ugonjwa wangu ni mbaya sana unajua momy alikuwa nao toka akiwa mdogo hivyo ilikomaa sana na kupelekea moyo kupanuka mwisho wa siku ndo hivyo tena. Pole sana pambana nayo sana wangu na mungu akubalik sana kipenz
Eti hawa ndio vijana wanaotakiwa kuwa Patriots wa nchi hii ili iweze kutoboa kwenye anga za kimataifa na hivyo kuhesabika nchi kama zingine hapa Duniani![emoji4]"nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia"-Beira Boy
Pole sana, Mungu atakusaidiapole kwakuondokewa na mama!mimi too nina pumu !ila nalidhibiti kindakindaki nw
asante rafikiPole sana, Mungu atakusaidia
Dada zako huwezi kujua uzuri wao mpaka ma Al-Watan tujialike kwenu.kwa kweli kawashinda mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaa mkuu lengo lako hapa unataka unichonganishe na mbiti yaza siyo?
sio kila king'aacho ni dhahabu nilionya juu ya tabia ya kushabikia vitu juu juu.kwahyo ukiwa na pumu,sikoseli ndo hutakiwi kupendwa!best nuimekumind kwakwel!
sasa kwa taarifa yako nao ni watu kama wewe usipende kunyanyapaa watu namna hyo aisee !hujafa hujaumbika