Nimeipenda hiyo simu! Hivi ni aina gani?Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319
Kashepu kanambebaHuyu ni mbaya
Njaa yenyewe inaniogopa mimi.Mkuu unasema kwamba huogop njaa
Mzuka Mwingi Boy Niaje pande Hizo mdau MwenyeweeeNiaje trump mwenyewe
Ile singo lini mkuuTupia ka picha mkuu
Aman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319
Nmecheka balaawengi wao ni vikojozi,na wengi wao wana magonjwa ya kurithi kama vile pumu,sickle cell,usihadaike na muonekano wa nje;ikuchukue muda kumfahamu mtu vizuri usije uka umia.
Si umewaposti wwUshagawah kuwaona mkuu
Weka yako ambayo inamekaupkazi ya make-up hiyo
Mtoto mkalinkweli ila maelezo yako na picha nakosa imaniAman iwe nanyi wakuu
Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu
Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee
Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona
Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia
Acha tu aiseeView attachment 669319
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Mbona unafanana nae mkuu?