Mungu fundi kuna visichana vina sura nzuri jamani

Huyu je nayeye mzuri kidogo
4d06d7354c11d15c8fe60fd93f0f09fd.jpg
Huyu ni mbaya
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
Nimeipenda hiyo simu! Hivi ni aina gani?
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319

Nitafute nikualike home uje uzione beki 3 za hapa, hii sample yako mwisho chalinze
 
Aman iwe nanyi wakuu

Kama kichwa cha habar kinavyosomeka hapo juu

Aisee kwa kweli Mungu ni fundi mazee kuna watu wana sura tamu sana mazee

Unaweza hata kulala miaka yote ukiwa unamuwaza yeye endapo utabahatika kuwaona

Kuna msichana leo nimekutana naye aisee kaniacha hoi sana sema tu nilikuwa kwenye gar alteza afu kwenye jam hivyo sikupata mda wa kupak na kumfatilia

Acha tu aiseeView attachment 669319
Mtoto mkalinkweli ila maelezo yako na picha nakosa imani

Ikuwa kwenye gari lkn hii picha umeipataje !?
 
Back
Top Bottom