Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israelš¤¬š¤¬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi kumbadilisha
MUNGU WA IBRAHIM alishaitelekeza Israel zamani sana, hakuna cha UKUTA WA YERIKO wala Malaika kuja kuwaua wabaya wa Israel Tena
Israel bila NATO hawezi kutoboa, Never.