ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Ni kweli Unalolisema. Watu wengi hawajui hilo. Ila ni swala LA muda tu, wa Israeli Watabadilishwa na kumuamini Yesu. Ndiyo maana IBILISI analijuwa hilo anataka kuwamaliza mapemaNawakumbusha tu Waisraeli sio Wakristo,kuna 2% tu ya Wakiristo huku waislamu wakiwa 18 %. Waisraeli 76% ni wayahudi.
Watu wasome wapate maarifa.