Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Nioneshe wapi wenye Elimu kubwa wanaabudu we mama (mjomba ni mama)wewe pia una elimu ndogo kwa kuwa muumini wa mchungaji mwenye elimu ndogo.
Kuliko kuwa Free mind bora uwe na kitu cha kujadili...Bongo kwa sasa simba vs yanga , israel vs palestina
IRON DOME Useless ššššLeo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israelš¤¬š¤¬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi kumbadilisha
MUNGU WA IBRAHIM alishaitelekeza Israel zamani sana, hakuna cha UKUTA WA YERIKO wala Malaika kuja kuwaua wabaya wa Israel Tena
Israel bila NATO hawezi kutoboa, Never.
Watu wa dini ni walaghai sana.Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israelš¤¬š¤¬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi kumbadilisha
MUNGU WA IBRAHIM alishaitelekeza Israel zamani sana, hakuna cha UKUTA WA YERIKO wala Malaika kuja kuwaua wabaya wa Israel Tena
Israel bila NATO hawezi kutoboa, Never.
Nioneshe wapi wenye Elimu kubwa wanaabudu we mama (mjomba ni mama)
Vitu constructive hatuna muda navyo shida pekee ni hiyoKuliko kuwa Free mind bora uwe na kitu cha kujadili...
Free mind is a devil's karakana
Hivi unafahamu namna Mungu anavyofanya kazi? What if Mungu anaitumia Marekani kuilinda Israeli? Yani unataka Mungu ashushe mvua ya mawe kuharibu maadui wa Israeli wakati anaweza kuitumia Marekani ambayo pia ni mali yake?Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israelš¤¬š¤¬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi kumbadilisha
MUNGU WA IBRAHIM alishaitelekeza Israel zamani sana, hakuna cha UKUTA WA YERIKO wala Malaika kuja kuwaua wabaya wa Israel Tena
Israel bila NATO hawezi kutoboa, Never.
Kwa hiyo ulikuwa unasubiri miujiza bila kazi kufanyika?Leo nimetamani kumchana makavu mchungaji wangu..
anadanganya kanisa eti mkono wa Mungu bado uko juu Ya Israelš¤¬š¤¬
Eti Mungu anailinda Israel dhidi ya wabaya wake ambao ni Arab nations, Jamani nimeishia kusema amina ila...
Mchungaji wangu nimemsamehe tu kwa sababu ana Elimu ndogo sana na siwezi kumbadilisha
MUNGU WA IBRAHIM alishaitelekeza Israel zamani sana, hakuna cha UKUTA WA YERIKO wala Malaika kuja kuwaua wabaya wa Israel Tena
Israel bila NATO hawezi kutoboa, Never.
Nimecheka kuona thunder rid belt juu ya kaburi la mtume wao lisipigwe na radi.. nasikia kila mara lilikuwa linapigwa radi hadi wazungu wakawawekea earth rod ndio alikupigwa na radi hadi leo.. wakati mudy aliwaambia Radi ni Malaika wa Allah.. sasa why abomoe kaburi la noble Messenger wa Allah?Watu wa dini ni walaghai sana.
Mambo ni hivyo hivyo kwa Makkah, Madina na Saudi Arabia kwa ujumla . Hawategemei tena ulinzi wa Allah bali wanategemea manowari za US zilizopaki Jeddah na kambi za jeshi la kikafir la USA zilizotapakaa Saudia kote.
Hapo ndipo utajua dini ni utapeli mtupu. Yaani hata kaburi la mtume linalindwa na silaha za kikafirš¤£
Ukishakumbusha pia kumbuka unabii unatimia wote watarejea Nchi ya Ahadi.. pengine na wewe ni mmoja wapoNawakumbusha tu Waisraeli sio Wakristo,kuna 2% tu ya Wakiristo huku waislamu wakiwa 18 %. Waisraeli 76% ni wayahudi.
Watu wasome wapate maarifa.