Mungu Hailindi Israel Tena, Israel inalindwa na Marekani na Mataifa ya Ulaya

Nawakumbusha tu Waisraeli sio Wakristo,kuna 2% tu ya Wakiristo huku waislamu wakiwa 18 %. Waisraeli 76% ni wayahudi.

Watu wasome wapate maarifa.
Ni kweli Unalolisema. Watu wengi hawajui hilo. Ila ni swala LA muda tu, wa Israeli Watabadilishwa na kumuamini Yesu. Ndiyo maana IBILISI analijuwa hilo anataka kuwamaliza mapema
 
Saudi Arabia King Salman na mwanae Crown Prince Mohammed Salman utawala wao ndio unalindwa na hao USA.
Mataifa mengi ya kiarabu raia wao wamewachoka viongozi wao ndio maana viongozi wao wanajiegemeza sana kwa USA kiulinzi.
 
Watu wenye elimu ndogo kama huyo mchungaji wako, watakupinga! Na hata wale vilaza+ watakimbilia kukutukana. Ila ukweli ndiyo huo.
 
Isitegemee kumuona Mungu anakulinda kwa upanga ,bali atakuinuulia watu wenye nguvu wa kukulinda.
 
We ni wale wakristo mnaye fata mafunzo ya Yesu sio ya Paulo, hata Qur'an Inatuambia wale wakristo walio fata mafunzo ya Yesu na Mussa hao hawana kasoro na sisi, wenye kasoro na sisi ni wale walio fata mafunzo ya mkosaji nyumba alishia kulala chini ya mti
 
mkono wa Mungu unaweza kupitia kwa mtu au taifa..
japo issue ya israel siwezi isemea
 
Mungu amewapa waisraeli akili ili wajilinde. Utashi na akili wanazo wayahudi.
 
Inawezekana ni uwezo wa akili yako tu.
 
Nani alikudanganya Mungu anakuja kufanya jambo live. Mungu anafanya Mambo yake kupitia viumbe vyake. Ni kama vile ukitaka mtoto Mungu anashirikiana na wazazi kumleta mtoto. So ukisoma vizur bible utajua Mungu ametumia sana mataifa kufanya either uvamiz au kulinda. So usiogope Mungu kuitumia marekani ni kawaida
 
Hiyo ya Saudi ndo ilimpa umaarufu Osama Bin Laden.

Yeye ndo alisema inakuwaje makafiri walinde sehemu takatifu.

Utapeli mtupu hizi dini.
 

Waumini kindaki ndaki wa 'kiboko ya wachawi" watapinga
 
Sqsa
Sasa ulitaka uone kabisa mkono wa Mungu unatokea mawinguni unaenda kulinda Israel?
Usikute hao Nato ndio wanatumika na Mungu kuilinda Israel
 
ww ndio unaelimu ndogo yan ulitaka mungu ashike mtutu akae pale yerusalem mungu hufanya kazi zake kupitia watu unajua ni nguvu gani inayo fanya mataifa makubwa yamlinde israel umesahau kipindi cha waamuzi mungu alimteuwa samsoni/mtu kuwa jabali la israeli na aliwatesa sana waphilist kwa vipigo vya mbwa koko
 
Nawakumbusha tu Waisraeli sio Wakristo,kuna 2% tu ya Wakiristo huku waislamu wakiwa 18 %. Waisraeli 76% ni wayahudi.

Watu wasome wapate maarifa.
hiyo inaeleweka wao walipata neema ya kumjua mungu kwanza na walikuwa na agano nae kabla hivyo huwezi kuwahukumu mana wao katika ufalme wa mungu wanao mlango wao tafauti na sisi tulio mjua mungu kwa hadith
 
Mwanafunzi si zaidi ya mwalimu wake...
Matay 19:25
 
Ni kweli Unalolisema. Watu wengi hawajui hilo. Ila ni swala LA muda tu, wa Israeli Watabadilishwa na kumuamini Yesu. Ndiyo maana IBILISI analijuwa hilo anataka kuwamaliza mapema

Duuuh humu kuna kuongopeana sana aisee, ndio maana hizi dini za wazungu na waarabu sitaki kuzisikia masikioni mwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…