Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu, Mungu ni nguvu Mungu ni energy

Mungu hajagawanyika katika nafsi tatu, Mungu ni nguvu Mungu ni energy

Kama Mungu ni energy, TANESCO wakikata umeme wanakuwa wamemkata Mungu?
Kama hii fuvu ndo uliitumia Kwa school basi wazaz walipata hasara,yaan n fuvu la kuifadhia meno bila kujua tafakuri😝😝😝
 
Huna ulijualo.
Kwani nafsi yako wewe umeitoa wapi ?
Nafsi zote ni za Mungu.
Mungu ana nafsi zisizohesabika nyingine ndio hiyo amekugawia wewe.
 
Umetema pumba
Pumba ina virutubisho vingi tu, tatizo wewe hujajua.

Swali langu hujajibu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu ni energy.

Umefanya logical fallacy ya ad hominem.

Badala ya kujibu hoja, umemshambulia mtoa hoja.

Mara nyingi hili hufanywa na watu wasio na hoja.
 
Kwa kweli zaidi ya pumba mkuu alicho sema
Ad hominem fallacy, badala ya kujibu hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Jibu swali. Thibitisha Mungu ni energy.

Energy haina sifa ya kujua. Mungu wako hajui?

Energy haina upendo. Mungu wako hana upendo?

Energy haina uwezo wote. Mungu wako hana uwezo wote?
 
Akili za panzi hizi.
Ad hominem fallacy.

Badala ya kujibu hoja, unamshambukia mtoa hoja.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Hujathibitisha Mungu ni energy.

Energy ina mapungufu mengi sana, je, Mungu wako ana mapungufu hayo pia?
 
Kama hii fuvu ndo uliitumia Kwa school basi wazaz walipata hasara,yaan n fuvu la kuifadhia meno bila kujua tafakuri😝😝😝
Ad hominem fallacy. Badala ya kujibu hoja, unamshambulia mtoa hoja.

Energy exists in space and time, it cannot exist without space and time.

Mungu wako naye hawezi kuwepo bila ya kuwepo space and time?

Usidharau maswali ambayo hujayajibu.

Ukitaka kudharau swali, angalau lijibu kwanza.
 
Huyo ni mungu wako aitwaye emergy. Mwisho utasema energy drink. Injili tuliyoipokea inasema Mungu ameganyika katika nafsi tatu, Mungu Baba, Mungu Mwana na Roho Mtakatifu. Hii inaitwa Utatu Mtakatifu. Usilete injili ya kigeni hutaeleweka
Utatu mtakatifu ni dogma la uongo ,kasome waanzilishi wake
 
si ndiyo hiyo dogma ilipo?
Ipo hivi Yesu ni mwana wa Mungu ,pia ni Mungu kwa kurithi kutoka kwa Baba yake Mungu wa pekee, na Roho mtakatifu ni nguvu ya Mungu

Utatu mtakatifu wao wanasema Yesu ndio huyo huyo Mungu baba , waprotestanti wamechukua hilo fundisho ndio wamezidi kulivuruga

Dogma ya Utatu Mtakatifu ilielezwa katika Mtaguso wa Nisea mwaka 325 AD
 
Back
Top Bottom