Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
Pambana mwenyewe na changamoto zinazokuukabili uzitatue mwenyewe, Mungu hayupo so ukikaa unategemea kitu kinaichoitwa Mungu kikusaidie utasubiri sana maana hakipo.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Vizuri anza leo basi kufanya hivyoMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Temea mate chini huku kuandika tuu ni udhihirisho tosha, kwamba Bado Mungu anakupenda na kukupigia ,mpaka unabando!Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Mkuu watafute watu wanaitwa "wachokonozi"utajifunza mengi kuhusu Mungu.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Mungu hayupo mkuu. Jipange mwenyewe kuishi na wengine tu.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
HeeeMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Taja watu tunaowafahamu bn, acha kututajia characters wa story bn.Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka!
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balata za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namba ambavyo anafanya kazi zake, go die, killl yourself, die baby die!
unacho kiti chako MbinguniNi sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka!
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balata za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namba ambavyo anafanya kazi zake, go die, killl yourself, die baby die!
Walokole feki utasikia wanaisingizia mizimu ya ukoo wenuMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.