Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Losted mind.
 
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe,jinsi unavyowaza,unawaza nini,tafuta kitu cha kufanya kama huna,omba kufanya usafi kwenye vituo vya watoto yatima,ili upunguze hayo mawazo mabaya kumhusu Mungu. Kingine angalia matendo yako na mawazo yako,je unawaza nini? Je ni mazuri? Kisha chukuwa hatua.
 
U

Unaweza kuta Baba yako alikuwa miongoni mwa Wasiojulikana hapo ukawa unavuna tu mavuno ya Ukoo.
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.

Hivi unatesekaje, tuanzie hapo kwanza! acha kutafuta miujiza, fanya kazi acha uvivu
Ujinga wako unamlalamikia Mungu
Yesu mwana wa Mungu aliteseka tena kuuawa, Ayubu mtu mkamilifu na mnyenyekevu aliteseka,Samsoni alitobolewa macho na ni mtu wa karibu na Mungu
wewe una exceptional gani
Musa nabii aliteseka, akawekwa mtoni, akakimbia toka ikulu akaenda kuchunga
Je wewe uhusiano wako na Mungu upoje
Kiufupi watu wa karibu na Mungu kuna namna anawapitisha kwenye changamoto
Ibahim aliambiwa amtoe mtoto wake wa pekee kwa kumchinja sadaka
Yakobo alichumga miaka 14 ili kuwapata wake zake. wewe ushawahi kuchunga
 
Mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe,jinsi unavyowaza,unawaza nini,tafuta kitu cha kufanya kama huna,omba kufanya usafi kwenye vituo vya watoto yatima,ili upunguze hayo mawazo mabaya kumhusu Mungu. Kingine angalia matendo yako na mawazo yako,je unawaza nini? Je ni mazuri? Kisha chukuwa hatua.
kweli kabisa. anataka vitu vya bure
 
Kwa Mungu wa mwamoosa umefika?
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
 
KIJANA TULIZA KICHWA .TUMIA AKILI USIONE WATU WAMEPENDEZA BARABARANI UKAWAONA HAWANA SHIDA HAPANA. KUNA WATU WANA MATATIZO WAKIANZA KIYASEMA YA KWAO NAAMINI YAKO UTAYAONA MADOGO. JARIBU KUTEMEBELEA HOSPITAL YOYOTE NDIO UTAONA NI JINSI GANI WEWE UMEBARIKIWA KULIKO WENGINE.UKIWA NA AFYA NJEMA NA MLO WA SIKU HIYO BASI WW NI TAJIRI TU USIJALI.
 
Tatizo kubwa linaanzia hapo unapo fikiria kwamba mungu nikiumbe👈
Ondoa fikra hii kichwani nahii imewafanya watu wengi kua tegemezi na ombaomba wakidhani mungu nikiumbe amestarehe sehemu anawasikiliza wao wakiomba?
Inabidi ubadili fikra zako na utambue kwamba mungu yuko ndani mwako wewe hapo.
Hivyo kumuomba nj'e nawewe nipigo la kufeli kwahatua yakwanza.
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Unapofika Mwisho yeye ndipo anaonekana. Mimi nitaendelea kumuamini sana kwa sababu amenivusha katika mengi.
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Watumishi wa Mungu wote katika biblia walikuwa ni wafanyakazi hodari, wavuvi, maseremala, wafugaji na wakulima, sasa wewe umefanya nini?
 
Back
Top Bottom