whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Mimi naonekana, yeye je?Yaani wewe upo!Ila mungu hayupo toka sasa anza kuitafakari afya yako ya Akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi naonekana, yeye je?Yaani wewe upo!Ila mungu hayupo toka sasa anza kuitafakari afya yako ya Akili.
Kwa hiyo haumini vyote visivyoonekana?Mimi naonekana, yeye je?
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Ukishaanza kusema anaweza akawepo maana yake umekubali anaweza asiwepo. Hapo umeweka conjecture.Mungu anaweza akawepo lkn sio kama tunavyomfikiria kwamba anamiujiza..!
InategemeaKwa hiyo haumini vyote visivyoonekana?
Nimekuelewa sanaaa, future yako ni kubwa mnoo na vita yako imekuwa kubwa pia, hivyo moyo umefadhaika. Na utajua sio muda mrefu Kuwa Mungu yupo na anaishi. Hii haitakuja kama ushuhuda wa mtu, bali wewe mwenyewe utashuhudia. Maana utaona na kukiri kwa moyo wako.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Asipobadilika kupitia huu ujumbe atakuwa mfu anaetembea, kibaya zaidi ni kwamba hajui lengo la kuumbwa kwake.Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Mzee kacheki Afya ya Akili halaka au Acha kufuata Mkumbo.Inategemea
Kama yeye hakusaidii, msaidie wewe; maisha ni kusaidiana.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Tuliza Moyo wako. Mungu ana haja nawe. Endelea kumwomba Mungu. Maana ni kitambo kidogo tu ataenda kutenda.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Mkuu shida ni wewe mwenyewe fikra zako juu ya mazingira yanayokuzunguka ndio zinachukua asilimia kubwa ya hali unayopitia.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kwanini una hasira nami Ndugu yangu? Ndiyo ni kweli hajawahi kunisaidiaNi sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Kama ni kuomba niliomba sana.Usikate tamaa kwa kuhisi au kuamini Mungu hana msaada na wewe.
Mungu anakupenda na kukuwazia yaliyo mema, ndiyo maana kakuumba na bado amekulinda hadi sasa uko hai.
Hayo mengine ni mapito tu na yana mwisho.
Omba rehema kisha mrudie kwa unyenyekevu na utiifu Mungu naye atakuvusha katika changamoto unazopitia.
Huenda.Hayupo, ni hekaya za sungura na fisi
Kumbe kwa mantiki hiyo ni kuwa hayupo?Huyo Mungu unayemlaumu ndio wewe mwenyewe, nyanyua hilo tako upambane uache kujilaumu.
Ukitaka kufanikiwa usilalamike, badili mtazamo, badili akili, anza kuyatazama mambo yote katika hali Chanya.
Malalamiko husababisha matatizo mengi zaidi. Fikra za umasikini husababisha umasikini mwingi zaidi na zaidi.
Fikra za mikosi huzalisha mikosi mingine mingi zaidi. TULIZANA, BADILI MTAZAMO.
Anza sasa kujifikiria mambo mazuri tu na utaona mambo yote mazuri yanakuja kwako kwa wingi. Fedha, mali, furaha na baraka.
Pole mkuu,naona umefikia kiwango Cha juu chakukata tamàa. Nikwambie tu kwamba Kuna mtu anaweza kuja kwako saivi akakusimulia shida zake ukajiona wewe una nafuu kubwa. Hujawahi kwenda hospital kubwa ukijiona mgonjwa Kisha ukaona wagonjwa wengine wenye Hali mbaya zaidi Yako?. Kingine, kila mungu anataratibu zake zakusaidia watu wake. Jitahidi sana kutimiza Yale ambayo huyo mungu wako anataka utafanikiwa mkuu.
Kumbuka; Mungu ni mmoja ila mungu wapo wengi.Tofauti ipo kwenye herufi "M" na "m" za mwanzo
Vitu vingi sana na hajatimiza hata moja kwanini?Ulitamani Mungu akufanyie kitu gani?