mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Pambana tu,
Usimpe mungu lawama.
Usimpe mungu lawama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu ana Kanuni zake Mkuu.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Hili ni swali tofauti na swali ulilouliza awali, unaelewa hilo?Sayari gani nyingine tofauti na dunia wameweza kuonekana viumbe hai au ishara ya civilizations kwa hizo telescopes, spectronomy n.k?
Mama hiyo ni shepu yako kweli?Unapofika Mwisho yeye ndipo anaonekana. Mimi nitaendelea kumuamini sana kwa sababu amenivusha katika mengi.
Kama yeye hakusaidii, msaidie wewe; maisha ni kusaidiana.
Amua moja kama unamtumikia Mungu mtumikie kweli. Kama unaitumikia Dunia basi itumikie haswa.Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Ubalikiwe sana mtumishAsante
jibu lakusema yupo ama hayupo linatakiwa liwe limethibitishwa kwa kufanya chunguzi ulimwengu mzima sasa wewe mpk unasema hayupo umeshafanya hivyo...??
NB; sifungamani pande yoyote sijui kama yupo au hayupo!.
Well said ..Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Yanaendana, na yote yanakuonyesha jinsi gani akili za binadamu hazijaweza hata kugusa tone la mambo nje ya sayari yake mwenyewe tu, sasa kusema kwa uhakika Mungu hayupo inakuwa ni arrogance kubwa sana.Hili ni swali tofauti na swali ulilouliza awali, unaelewa hilo?
Akili ya mtu kutoweza kugusa hata tone la mambo ya nje ya sayari yake mwenyewe tu nao ni ushahidi kwamba Mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote hayupo.Yanaendana, na yote yanakuonyesha jinsi gani akili za binadamu hazijaweza hata kugusa tone la mambo nje ya sayari yake mwenyewe tu, sasa kusema kwa uhakika Mungu hayupo inakuwa ni arrogance kubwa sana.
Soma tena kwa umakiniKumbe hamna haja ya kumwomba Mungu?
Naamini yupo just advise kwa wasioamini kozi Mungu ni mwepesi wa hasira lakini husamehe kwa haraka...Bora kutubu mapemaKwahiyo nawe unamwamini kwa mashaka?