Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment Bora kabisa hii, mwenye masikio na asikieHivi unatesekaje, tuanzie hapo kwanza! acha kutafuta miujiza, fanya kazi acha uvivu
Ujinga wako unamlalamikia Mungu
Yesu mwana wa Mungu aliteseka tena kuuawa, Ayubu mtu mkamilifu na mnyenyekevu aliteseka,Samsoni alitobolewa macho na ni mtu wa karibu na Mungu
wewe una exceptional gani
Musa nabii aliteseka, akawekwa mtoni, akakimbia toka ikulu akaenda kuchunga
Je wewe uhusiano wako na Mungu upoje
Kiufupi watu wa karibu na Mungu kuna namna anawapitisha kwenye changamoto
Ibahim aliambiwa amtoe mtoto wake wa pekee kwa kumchinja sadaka
Yakobo alichumga miaka 14 ili kuwapata wake zake. wewe ushawahi kuchunga
Mungu yupoMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Unakufuru sanaMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
🏃🏃Kama Mungu amekuzingua mtry Shetani..😅😅 au nae ndio kabisaaa😅😅
Thibitisha uwepo wako wewe mwenyewe kwanza.Mungu hayupo mkuu. Jipange mwenyewe kuishi na wengine tu.
Tusaidiane wenyewe, kwa sababu Mungu hayupo, hivyo hawezi kutusaidia.
Ukielewa hili, utajibu maswali mengi sana.
Wote ni wale wale hawasikii😂😭Kama Mungu amekuzingua mtry Shetani..😅😅 au nae ndio kabisaaa😅😅
SanaInaonekana wewe ni mzee wa kubet mikeka inakuchanganya yaani mtu una smartphone na bando unalo afu bado unalalamika eti maisha magumu milembe inakuhusu wewe
Baada ya mateso yote niliugua tu kiasi chakukatiwa tamaa hata na ndugu maana sikuonekana nachamaana zaidi Kama Mali biashara nilifirisika ,,sikufanya chochote nilimwachia Mungu ,maana hata kwa wataalamu walikuwa wanapelekwa wengine minatengwa,,nilimwachia mungu tu yaani
Sasa kwanini Mungu ameweka hivyo?!!Wasio na hatia jela walio mahututi hospital walio kuwa machizi ,walio kuwa mateja,walio vilema,walio kuwa misukule ,walio firisiwa na mabenk hao wote watasemaje ndugu ,pole sana kwa changamoto unazopitia usikate tamaa kesho yako mpya inakaribia
Kweli huenda Mungu hanipendi au labda ananipuuzia.Huyu mtu anahitaji msaada wa kisaikolojia aiseee.🥺Amafika mahali hajui aamini nini. Ila ndugu tambua hakuna mafanikio kwenye nyakati rahisi. Tubu na mwamini Mungu hajashindwa kwako bado.
Wengi hawajapitia changamoto ngumuWatu wengi naona mnamutukana mleta maada bila sababu yeyote nazan ni kwa sababu bado hamjapitia magumu
Dunia hii inachanganya sana kuna mambo ni magumu sana na kuna nyakati ngumu sana usiombe ukutane nazo
Pole sana mleta maada MWENYEZI MUNGU AKUINUE KIROHO NA KIMWILI
usikate tamaa mimi nishawahi kupitia kipindi kigumu zaid ya hicho unachopitia lakin nilipiga magoti nikamulilia KRISTO YESU naye akanisaidia yakaisha
Kikubwa ongeza tu bidii katika kusaka pesa lakin pia usipende kuchagua kazi kaka yangu fanya kazi yeyote ile huku ukiendelea kumuomba MUNGU
Lakin pia usitaman maisha ya mtu awe tajir au masikin
Usipende kujilinganisha na watu utaona MUNGU hakupend hata ulefu hatufanani kaka yangu
Hawa matajiri wengi ni wachawi wakubwa usipende kuwataman hata kidogo
YESU anakupenda kaka yangu endelea kumtumainia bro
Ukifa mimi nitaumia sana kaka usifanye hivyo kaka YESU NI MWEMA NA NDO MWOKOZI
AMINA