Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #161
Kweli sijui huyo Mungu yupoje!!Huyo Mungu au Mwantumu Ndalamoja?
Mbona ana gubu sana akikataliwa, kinyume na sifa yake ya kuwa na upendo wote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli sijui huyo Mungu yupoje!!Huyo Mungu au Mwantumu Ndalamoja?
Mbona ana gubu sana akikataliwa, kinyume na sifa yake ya kuwa na upendo wote?
Kwa hiyo unakubali kuna vitu tunaweza kuvijua kimantiki bila kufanya utafiti ulimwengu mzima?kwanini nifanye utafiti kujua nipo wakati najijua nipo basi nitakuwa mimi zwazwa!, kama nikiwa nimeshajua nipo haipo haja yakufanya utafiti ulimwengu mzima..
mkuu yaonyesha wewe ni bingwa wa kumix vitu!..
hapa tunamzungumzia uwepo wa Mungu ama kutokuwepo kwake ila mifano unayoleta unaleta tofauti kwa maana inahitajika kujua sifa za kitu hicho kwanza,sasa wewe unaleta mfano wakwako kwani hapa tunakuzungumzia wewe si tunazungumzia Mungu!.
nafikiri kuna vitu bado hujui na ndio maana jibu lako lakusema "Hayupo" huwezi ku prove..
hatujui kuhusu Mungu,sifa zake,makao yake,tabia zake n.k sasa ni kivipi unasema hayupo..??
swali ni simple mara hii tena sidhani kama utakuwa bingwa kwenye kujimix na mifano yako isiyoendana tunachokizungumzia!.. unachanganya mifano na ndio maana unashindwa kuelewa hiyo hoja yakufanya utafiti ulimwengu mzima!.. sasa kurahisisha mifano isitoke nje na dhana ya Mungu kwasababu yeye ndo discussion!
tunatumia mantiki kutokana na sifa y kitu husika, binadamu utaanza kumtafuta maeneo ambayo unajua anaweza kupatikana ila Mungu nae atatafutwa kutokana na sifa zake nini kama anaweza kupatikana ktk mazingira yoyote.. ukisema tu tufate hivyo unavyosema vipi akiwa yupo ambapo wewe unafikiri hawezi kuwepo kumbe sifa zake zinamruhusu yeye kuwepo hapo!..Kwa hiyo unakubali kuna vitu tunaweza kuvijua kimantiki bila kufanya utafiti ulimwengu mzima?
Tunaweza kujua tupo bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.
Tunaweza kujua 1 ni ndogo kuliko 2, bila kufanya utafiti ulimwengu mzima.
Sawa?
Asante,Sawa Mwana wa Mungu
ukila ukashiba usimkufuru MunguMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Huwezi kuelewa Ndugu yangu.
Sawa.tunatumia mantiki kutokana na sifa y kitu husika, binadamu utaanza kumtafuta maeneo ambayo unajua anaweza kupatikana ila Mungu nae atatafutwa kutokana na sifa zake nini kama anaweza kupatikana ktk mazingira yoyote.. ukisema tu tufate hivyo unavyosema vipi akiwa yupo ambapo wewe unafikiri hawezi kuwepo kumbe sifa zake zinamruhusu yeye kuwepo hapo!..
huoni ukijifunika kwenye hiyo mantiki moja utakosa jibu la hakika...??
[emoji419][emoji375]Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!
Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!
Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????
Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!
Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!
Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
najua miungu ipo mingi na mimi siamini yoyote ila nadharia ya Uungu ama Umungu naielewa!..Sawa.
Umesema Mungu anatafutwa kwa sifa zake.
Nimeanza kwa kusema Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na ujuzi wote huyu hayupo.
Tunaweza kujua hilo kwa kuangalia the problem of evil.
Hatuhitaji kufanya utafiti wa ulimwengu wote kujua huyu hayupo.
Umeelewa? Umekubali?
Kwanza kabisa, sijatumia mantiki yangu.najua miungu ipo mingi na mimi siamini yoyote ila nadharia ya Uungu ama Umungu naielewa!..
hivyo wewe umetumia mantiki yako kukanusha kwamba Mungu huyo hayupo ni sawa kwa mantiki yako na uelewa wako lkn haitoi jibu completely kuwa hayupo!.
vipi unaelewa mtu akikuambia nadharia ya Uungu..?
yako kwa maana ya kuileta hapa sio kuimiliki!..Kwanza kabisa, sijatumia mantiki yangu.
Mimi sina mantiki.
Problem of evil inaonesha Mungu hayupo kwa contradiction.
Contradiction si mantiki yangu.
Ni mantiki iliyokuwepo maelfu na maelfu ya miaka kabla sijazaliwa.
The problem of evil imetajwa na Epicurus maelfu ya miaka kabla sijazaliwa.
Hii si mantiki yangu.
Hii ni mantiki.
Sasa kwanini Mungu hajawasaidia hao wa Muhimbili?Nenda mhimbili mbale ndio na wewe utaelewa
Ww mpaka Una nguvu ya kuandika
Baada ya Mungu kushindwa kunisaidia.Umeanza kukufuru
Ulifanyeje?Mi siwezi kufuru nimepitia mitihani ya kila namna mpka nikawa namtukana matusi ya nguoni nikapata mtihani mkubwa nikapoteza mwelekeo kwa magonjwa ,,,baadae nikaona nikainuliwa kwa hali nisio ijua ,,pesa Zikaanza upya ,kazi zinanifata zenyewe , kwakweli Mungu yupo,,, kwahiyo ni majaribu tu ili uamuke kiroho na kujitambua , kingine usimukufuru MUNGU kwa matatizo ambayo umesababishiwa na binadamu mwenzako angalia plan b,,,,japo mi sikwenda kwa mganga niliona mambo yanajiseti yenyewe tu yaani hapo baada ya kukimbiwa hata na ndugu akiwemo mama ngu
Unaungana na Mimi kuwa Mungu hasaidii kwa chochote tusimuombe?Unataka pesa labda, lakini moyoni una doubt kibao, hivi nitatoboa kweli?, sidhani kama nitaweza?, sijawahi ona Fulani akifanya hivi? etc Kwa doubt hizo hutoboi, lazima ujiamini kuwa unaweza kufanya jambo likawa, yaani huyo mungu haiwezi saidia Kwa yoyote yule asiyefanya bidii yenye akili, Ili uipate bahati lazima na wewe ujiandae kwelikweli Ili ikukute tayari uko na maandalizi, kwani toka tuzaliwe tumechezea fursa na bahati ngapi Kwa kuwa tu hatukujiandaa, inua makalio hayo nenda katumie akili yako tukufu kujineemesha, Tanzania ina wapumbavu na wajinga wengi hivyo ni afueni kutoboa.