Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Mungu hana msaada wowote katika maisha yangu

Naweza kukubaliana na wewe nimemuomba Mungu sana lakini wapi. Na huenda wanaonishutumu hawajafikia kiwango hicho cha maombi yangu.

Kwa Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Ukishaona unahitajo kumuomba Mungu tu, ujue huo nao ni ushahidi kuwa Mungu hayupo.

Kwa sababu, angekuwepo Mungu huyo, angekupa unachokitaka kabla hata hujakiomba.

Hivyo, ukikiomba tu, maana yake huyo Mungu hayupo.
 
Imani yako ina mushkeri mpaka hapo humuamini Mungu , watu wmeishi miaka 8 ya ndoa ndio wamepata mtoto kwa kuamini .

Atheist bhana una tabu sana .
 
Ni sawa na useme mume wa jirani yangu Hana msaada na Mimi na ni TAJIRI, sasa huyo ni Mumeo? Lazima awe wako ndo akusaidie!

Mungu ana msaada kwa watu wenye mahusiano naye, na Kama ungewahi Kuwa na mahusiano naye usingeropoka na kumdharau!

Nani alikwambua watu wote wenye navyo wamepewa na Mungu unayemlaumu? Hata shetani utoa mafanikio yenye majuto!!! Why don’t you try him uone balaa Lake????

Angalia watu Kama Yusufu, Ayoub na wengine wengi kwenye Biblia, walipita balaa za kutosha, wakavumilia mwisho we wakamwona Mungu! Unajua kwa nini hawakukufuru Kama wewe ? Kwa Sababu wamamjua!

Yani watu Kama wewe wa naweza kufa huku wanatukana Mungu Mwenye uwezo wa kukusaidia; hauna mahusiano na huyu Mungu hata kidogo; kufa tu brother na laana zako na Umaskini!!!

Die hard brother Kama hutaki kumfaham na kumwelewa huyu Mungu namna ambavyo anafanya kazi zake ( He is a principled God ) go die, killl yourself, die baby die!
Jibu zuri sana
 
Kwa nini ni lazima nifanye tafiti ulimwengu wote ili kujua jambo fulani ni kweli au si kweli?

Wewe umefanya utafiti ulimwengu wote kujua kuwa upo? Unahitaji kufanya utafiti ulimwengu wote ili kujua kuwa upo?

Unahitaji kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2?

Mimi nakuambia kuwa, katika hesabu, 1 ni ndogo kuliko 2.

Wewe unaniuliza, nimejuaje 1 ni ndogo kuliko 2, kwani nimehesabu namba zote?

Sihitaji kuhesabu namba zote ili kujua kuwa 1 ni ndogo kuliko 2.

Ukitaka tafiti za kuchunguza ulimwengu wote kwanza kabla ya kujua kitu, basi hatuwezi kujua lolote, hata wewe huwezi kujua kama upo, kwa sababu hujafanya utafiti ulimwengu mzima kujua kama upo au haupo.

Unaelewa hilo?
mfano wa namba unaouleta hapa hauendani na tunachokizungumzia,hapa tunazungumzia kuwepo ama kutokuwepo!.

babu usitolee mifano mingi wakati nachouliza hakihitaji hivyo!.

Mimi najijua nipo kwasababu si hapa nipo nafanya mdahalo!,kama kitu kikifanya tafiti ulimwenguni na akanifikia basi atajua nipo..

inalazimika kuujua ulimwengu wote ili uweze kujua uwepo wa Mungu ama kutokuwepo kwake!. kwasababu ili uthibitishe uwepo ama kutokuwepo lazima uhakikishe pote kuwa hayupo! sasa usipofika kote utajuaje..?
 
mfano wa namba unaouleta hapa hauendani na tunachokizungumzia,hapa tunazungumzia kuwepo ama kutokuwepo!.

babu usitolee mifano mingi wakati nachouliza hakihitaji hivyo!.

Mimi najijua nipo kwasababu si hapa nipo nafanya mdahalo!,kama kitu kikifanya tafiti ulimwenguni na akanifikia basi atajua nipo..

inalazimika kuujua ulimwengu wote ili uweze kujua uwepo wa Mungu ama kutokuwepo kwake!. kwasababu ili uthibitisho uwepo ama kutokuwepo lazima uhakikishe pote kuwa hayupo! sasa usipofika kote utajuaje..?
Kwa hiyo wewe umejijua upo bila kufanya utafiti wa ulimwengu wote, siyo?
 
Kwa hiyo wewe umejijua upo bila kufanya utafiti wa ulimwengu wote, siyo?
kwasababu binafsi hakuna haja yakufanya hivyo maana nilipo ndipo nipo hivyo najihisi,najielewa n.k ila kwa ambae yupo mbali namimi na hajui nipo ama sipo itabidi kuthibitisha kuwa sipo ahakikishe maeneo yote anafika.
 
Ukijua kwamba kupambana ni lazima ili ufanikiwe lakini si lazima ufanikiwe ukipambana hutakuwa na wakumuangushia lawama kuanzia wanadamu mpka huyo Mwenyezi Mungu
 
kwasababu binafsi hakuna haja yakufanya hivyo maana nilipo ndipo nipo hivyo najihisi,najielewa n.k ila kwa ambae yupo mbali namimi na hajui nipo ama sipo itabidi kuthibitisha kuwa sipo ahakikishe maeneo yote anafika.
Mimi niko mbali na wewe. Unahitaji kufanya utafiti ulimwengu wote kuthibitisha nipo?

Unahitaji kufanya utafiti Andromeda Galaxy kuthibitisha nipo kweli?
 
Mimi niko mbali na wewe. Unahitaji kufanya utafiti ulimwengu wote kuthibitisha nipo?

Unahitaji kufanya utafiti Andromeda Galaxy kuthibitisha nipo kweli?
kama hautakuwepo hapa ulipo sasa na ukawa upo ambapo mimi sijui na ikatakiwa ni prove kuwa haupo nilazima nihakikishe nafika maeneo yote ndio..

babu acha kuuliza swali moja mara nne nne ni kitu kinachoeleweka vyema kabisa!.
 
Sasa kama unahitaji kutafiti mambo ulimwengu mzima, nikiwepo mbele yako utajuaje nipo kweli kama hujafika Andromeda Galaxy na kujua kuwa kwa mujibu wa physics za Andromeda Galaxy mimi sipo, unachoona wewe kwamba nipo ni mauzauza tu?

For that matter, nachukulia kanuni yako ya kufanya utafiti ulimwengu mzima seriously.

Kwa mujibu wa kanuni yako hiyo.

Wewe mwenyewe unajuaje upo ikiwa hujafanya utafiti ulimwengu mzima?

Utajuaje kuwa ukifanya utafiti ulimwengu mzima hutagundua kuwa wewe haupo, unapofikiri upo hiyo ni program tu ya li computer kuubwa lipo huko Andromeda Galaxy.

Li computer lina Artificial Intelligence inayojifanya yenyewe ifikiri upo kama wewe, lakini kiukweli wewe haupo.

Kabla ya kufanya utafiti ulimwengu wote utajuaje wewe upo kweli na kuwa wewe si simulation tu ya Artificial Intelligence ya computer kuubwa tu?
 
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.

Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.

Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Jitie nguvu mkuu
 
Sasa kama unahitaji kutafiti mambo ulimwengu mzima, nikiwepo mbele yako utajuaje nipo kweli kama hujafika Andromeda Galaxy na kujua kuwa kwa mujibu wa physics za Andromeda Galaxy mimi sipo, unachoona wewe kwamba nipo ni mauzauza tu?

For that matter, nachukulia kanuni yako ya kufanya utafiti ulimwengu mzima seriously.

Kwa mujibu wa kanuni yako hiyo.

Wewe mwenyewe unajuaje upo ikiwa hujafanya utafiti ulimwengu mzima?

Utajuaje kuwa ukifanya utafiti ulimwengu mzima hutagundua kuwa wewe haupo, unapofikiri upo hiyo ni program tu ya li computer kuubwa lipo huko Andromeda Galaxy.

Li computer lina Artificial Intelligence inayojifanya yenyewe ifikiri upo kama wewe, lakini kiukweli wewe haupo.

Kabla ya kufanya utafiti ulimwengu wote utajuaje wewe upo kweli na kuwa wewe si simulation tu ya Artificial Intelligence ya computer kuubwa tu?
kwanini nifanye utafiti kujua nipo wakati najijua nipo basi nitakuwa mimi zwazwa!, kama nikiwa nimeshajua nipo haipo haja yakufanya utafiti ulimwengu mzima..

mkuu yaonyesha wewe ni bingwa wa kumix vitu!..
hapa tunamzungumzia uwepo wa Mungu ama kutokuwepo kwake ila mifano unayoleta unaleta tofauti kwa maana inahitajika kujua sifa za kitu hicho kwanza,sasa wewe unaleta mfano wakwako kwani hapa tunakuzungumzia wewe si tunazungumzia Mungu!.
nafikiri kuna vitu bado hujui na ndio maana jibu lako lakusema "Hayupo" huwezi ku prove..
hatujui kuhusu Mungu,sifa zake,makao yake,tabia zake n.k sasa ni kivipi unasema hayupo..??

swali ni simple mara hii tena sidhani kama utakuwa bingwa kwenye kujimix na mifano yako isiyoendana tunachokizungumzia!.. unachanganya mifano na ndio maana unashindwa kuelewa hiyo hoja yakufanya utafiti ulimwengu mzima!.. sasa kurahisisha mifano isitoke nje na dhana ya Mungu kwasababu yeye ndo discussion!
 
Back
Top Bottom