Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
- #181
Sijashiba Nduguukila ukashiba usimkufuru Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijashiba Nduguukila ukashiba usimkufuru Mungu
yako kwa maana ya kuileta hapa sio kuimiliki!..
kipi kinakupa hakika kuwa hizo contradiction ni sifa zake ambazo zina prove kutokuwepo kwake,bila kuangalia upatikanaji wake..??
Huenda ni kweli hayupo au yupo lakini hana uwezo wa kusaidia?
Sio peke yako ambaye Mungu hana msaada kwako, hiyo ndio hali halisi kwa wote.
Utofauti wako na watu wengine ambao unawataja kama Mungu anawasaidia nikwamba wao ni watumwa wa imagination.
Hata ikitokea jirani yake amempa msaada wa chochote ila kwakuwa amekuwa mtumwa wa imagination hatoona utu wa huyo mtu na badala yake atasema tu ni Mungu kamsaidia kupitia jirani.
Au Mungu alikuwepo zamani tu.... Yaani watu...Kwakweli
Kukosa kulijua neno ndio kunako kuangamiza,ungelijua neno lingekuweka huru...Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kutokujua neno ndiyo imefanya Mungu asinisikie?Kukosa kulijua neno ndio kunako kuangamiza,ungelijua neno lingekuweka huru..
Usikate tamaa kwa kuhisi au kuamini Mungu hana msaada na wewe.
Mungu anakupenda na kukuwazia yaliyo mema, ndiyo maana kakuumba na bado amekulinda hadi sasa uko hai.
Hayo mengine ni mapito tu na yana mwisho.
Omba rehema kisha mrudie kwa unyenyekevu na utiifu Mungu naye atakuvusha katika changamoto unazopitmaneno magumu
Kwahiyo nawe unamwamini kwa mashaka?Bora uamini Mungu yupo na asiwepo.kuliko tuseme hayupo na umkute mbinguni ndugu yangu..,hata kama unapitia magumu kiasi gani usiache kumshukuru Mungu kwa Kila unalopitia
Mungu yupo na ni mmoja tu
Labda.Msaada wowote anaoweza kukupa Mungu ni Confidence..., ndio maana hata wanaokwenda kwa Mizimu, wanaoamini lucky charms n.k. wanafakiwa...
In short kila kitu ukikifanya kwa kanuni zake utafanikiwa, tena kama unashinda umepiga magoti na kuomba badala ya kufuata kanuni za hicho kitu huenda ikawa detrimental na sio beneficial
naelewa na naelewa pia contradictions kibao zimuhusu huyu Mungu wa kwenye hivi vitabu!..Unajua "the problem of evil" ni nini?
Mungu yupi?. Mungu si mmoja.K
Unaungana na Mimi kuwa Mungu hasaidii kwa chochote tusimuombe?
Hiyo neema ya pumzi ambayo unayo ni neema tosha na upendo wake wangapi wameikosa tumia muda huu kutubia na sio kukufuruMikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Mikosi, Kila kitu kibaya Mimi. Dhambi zangu hazijai hata kikombe lakini niliyoyapitia ni magumu kuliko umri wangu.
Lakini ukitazama wengine kwenye matendo maovu yote huwakosi, Ila wamejaa neema tele. Kila kitu kizuri kwao.
Ninapoelekea naenda kutokumwamini huyu kiumbe wa kuitwa Mungu. Maana kama kweli yupo ni mtesaji na mnyanyasaji kweli.
NIMEMALIZA.
Kama kweli Mungu yupo aende Gaza huko akavinusuru vitoto vya Kipalestina vinavyouliwa kila siku na mabomu ya IDF.
Du kwa jinsi ulivyotokeza humu ni kama nzi wanavyotokeza kwenye mavi bila mnyaji kujua inzi wametokea wapiMungu hayupo mkuu. Jipange mwenyewe kuishi na wengine tu.
Tusaidiane wenyewe, kwa sababu Mungu hayupo, hivyo hawezi kutusaidia.
Ukielewa hili, utajibu maswali mengi sana.