Mungu hana msemaji wala dalali huku duniani

Mkuu acha hasira na pope
Kama hakufai unaachana nae huna haja ya kutaka awe unachotaka wewe maana hatokuwa
Religious tolerance ni kipimo cha chini kabisa cha ustaarabu n.a. heshma ya mtu
No one is special to God to pray for others.

No matter how Holy he is.

Pope is just a person like you. And that's it.
 
Mkuu acha hasira na pope
Kama hakufai unaachana nae huna haja ya kutaka awe unachotaka wewe maana hatokuwa
Religious tolerance ni kipimo cha chini kabisa cha ustaarabu n.a. heshma ya mtu
sina hasira
ila tukiona mtu anadanganya lazima tukemee
 
mwanamama bila shaka wew ni mfuasi wa yule jamaa anayejiita Mwamposa.
 
Naamini Mungu yupo,

Ila ukichukua Kila unaloambiwa bila kufanya reference ya Biblia inasemaje utapotea,

Tumepewa akili tuzitumie.

"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".

Information is Power

Usiache kusoma Biblia
Biblia iliyoletwa na wazungu au kuna nyingine ya Waafrika hiyo biblia ndiyo memart ya kuwakamua wajinga kwa kiwafunga kwa mistari inayokinzana

Eti kufanya mapenzi ni dhambi hapohapo inakuja nendeni mkazaane muijaze dunia,shenzi type utaijaza dunia kwa kuona jinsia moja?
 
Hii mistari inayoileta hapa ndiyo uliyofungiwa na hao wachungaji wenu,iweje mchungaji akuombee na kukubariki wewe upate mafanikio na ashindwe kuwapa ndigu zake maombi?
 
MBONA HUWASEMI WALE WA MNYAAZIIII NAMNA WANASEMAGA TAKBIIIR NA KUSEMA WANAPAMBANA VITA KUMTETEA ALLAH
 
REJEA AFGANISTAN NA IRAQ PAMOJA NA SYRIA

WANAMGAMBO WALIKUWA WANASEMA KUWA WALIKUWA WANAMTETEA ALLAH

KATAAA MASHEKHE UCHWARA

KATAA MA MUFTI UBWABWA

KATAA MAOSTAZI VIBAKA

MUNGU HATETEWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…