amadala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,265
- 12,268
Huyu Shillah achana nae sio wa kumtetea kabisa.Huyu kasema msitume sadaka lakini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Shillah achana nae sio wa kumtetea kabisa.Huyu kasema msitume sadaka lakini
No one is special to God to pray for others.Mkuu acha hasira na pope
Kama hakufai unaachana nae huna haja ya kutaka awe unachotaka wewe maana hatokuwa
Religious tolerance ni kipimo cha chini kabisa cha ustaarabu n.a. heshma ya mtu
Indeed, kila mtu ashinde mechi zake. Amuombe Mungu kwa namna yakeNo one is special to God to pray for others.
No matter how Holy he is.
Pope is just a person like you. And that's it.
CoolTabula rasa
Debe tupu
sina hasiraMkuu acha hasira na pope
Kama hakufai unaachana nae huna haja ya kutaka awe unachotaka wewe maana hatokuwa
Religious tolerance ni kipimo cha chini kabisa cha ustaarabu n.a. heshma ya mtu
sina hasira
ila tukiona mtu anadanganya lazima tukemee
Naona unaamini Pope ni mungu. endelea kumteteaUnamjua hata unayemkema sasa!? Na unachokiona kosa una pa kusimamia!?
Naona unaamini Pope ni mungu. endelea kumtetea
Kwann?Huyu Shillah achana nae sio wa kumtetea kabisa.
mwanamama bila shaka wew ni mfuasi wa yule jamaa anayejiita Mwamposa.Nakukaripia kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai acha hila za kuzuia injili ya kweli isihubiriwe
Yeye Mwenyezi Mungu muumba amekutuma wewe, amenituma mimi na wengine kufanya kazi zake.
Tumia akili za moyoni kuwatambua matapeli ila usitumie kigezo cha utapeli kuzuia kazi ya Mungu
ISAYA 6:8
Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.
YOHANA 17:18
Kama ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma wao ulimwenguni.
MATHAYO 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
Kacheck kwanza kwenye page yake ya Instagram, utauelewa unabii wakeKwann?
hata kama za uongo. huo ni unafiki, kuwa na msimamoNaheshimu imani za watu
mwanamama bila shaka wew ni mfuasi wa yule jamaa anayejiita Mwamposa.
hata kama za uongo. huo ni unafiki, kuwa na msimamo
Ezekieli 33:8 NEN
Nimwambiapo mtu mwovu, ‘Ewe mtu mwovu, hakika utakufa,’ nawe hukusema neno la kumwonya ili atoke katika njia zake, yule mtu mwovu atakufa kwa ajili ya dhambi yake, mimi nitaitaka damu yake mkononi mwako.
Biblia iliyoletwa na wazungu au kuna nyingine ya Waafrika hiyo biblia ndiyo memart ya kuwakamua wajinga kwa kiwafunga kwa mistari inayokinzanaNaamini Mungu yupo,
Ila ukichukua Kila unaloambiwa bila kufanya reference ya Biblia inasemaje utapotea,
Tumepewa akili tuzitumie.
"Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa".
Information is Power
Usiache kusoma Biblia
Hii mistari inayoileta hapa ndiyo uliyofungiwa na hao wachungaji wenu,iweje mchungaji akuombee na kukubariki wewe upate mafanikio na ashindwe kuwapa ndigu zake maombi?Nakukaripia kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai acha hila za kuzuia injili ya kweli isihubiriwe