KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
🤣🤣🤣🤣🤣Nadhani ata Yesu mwenyewe atakua anakucheka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣🤣Nadhani ata Yesu mwenyewe atakua anakucheka
Acha wajinga wapigwe tyuuHii iende kwa wafuasi wa nabii anayejiita Joshua ...nimemuona kwa startv kama sikosei anawapanga waumini wake hadi utacheka.
Anawaambia naenda mlimani siku kadhaa kuongea na Mungu ..kwahiyo orodhesha shida zako kwa namba fulani mimi ntayaonbea na Mungu atakujibu withini a certain period.
Ila cha kufanya nitume mimi niende mlimani wewe endele kutafta hela anasema wagawane majukumi. kwamba wafuasi watafte hela yeyr aende mlimani...akatuma na namba za kutuma hizo pesa..nilijiskia hasira ila nikaishia kucheka...poleni wafuasi wa aina hii🙌
View attachment 2606968
@mama DHii iende kwa wafuasi wa nabii anayejiita Joshua ...nimemuona kwa startv kama sikosei anawapanga waumini wake hadi utacheka.
Anawaambia naenda mlimani siku kadhaa kuongea na Mungu ..kwahiyo orodhesha shida zako kwa namba fulani mimi ntayaonbea na Mungu atakujibu withini a certain period.
Ila cha kufanya nitume mimi niende mlimani wewe endele kutafta hela anasema wagawane majukumi. kwamba wafuasi watafte hela yeyr aende mlimani...akatuma na namba za kutuma hizo pesa..nilijiskia hasira ila nikaishia kucheka...poleni wafuasi wa aina hii[emoji119]
View attachment 2606968
Nakukaripia kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai acha hila za kuzuia injili ya kweli isihubiriwe
Yeye Mwenyezi Mungu muumba amekutuma wewe, amenituma mimi na wengine kufanya kazi zake.
Tumia akili za moyoni kuwatambua matapeli ila usitumie kigezo cha utapeli kuzuia kazi ya Mungu
ISAYA 6:8
Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi.
YOHANA 17:18
Kama ulivyonituma mimi ulimwenguni, nami nawatuma wao ulimwenguni.
MATHAYO 10:16
Angalieni, mimi nawatuma kama kondoo kati ya mbwa-mwitu; basi iweni na busara kama nyoka, na kuwa watu wapole kama hua.
HakikaAn African woman following a prophet ni sawa mwendawazimu.
Hii mistari inayoileta hapa ndiyo uliyofungiwa na hao wachungaji wenu,iweje mchungaji akuombee na kukubariki wewe upate mafanikio na ashindwe kuwapa ndigu zake maombi?
Hakuna yeyote aliyekutuma wewe au manabi, mitume na makuhani wako. Waongo na matapeli wakubwa nyie.
Vichaa hawatoisha na ukitaka kufanikiwa kua tajiri tumia Maarifa uliyonayo kujitajirisha kupitia vichaa wachache, jilipue tumia hata vitabu vya dini hususani biblia kujitajirisha hakuna ataekataa maana vichaa kila siku wanaozaliwaWanakusanya makundi makubwa ya watu wapumbavu na kuwachosha kwa ibada ndefu na kuwaaminisha kwamba wanawapa revelations au baraka za Mungu kwa imani ya kupata maisha ya furaha mbinguni au kwa njia ya kupata mali na heri hapa duniani.
Huyo musa,miriam na haruni au yesu na yuda wanahusika vipi na Afrika bwana mbona unakuwa JINGA kiasi hiki unvezaliwa ukakuta baba au mama yako ni muislam siungekuwa muislam?Hata Musa hakuweza kumfanikisha dada yake Miriam na kaka yake Haruni
Wala Yesu hakuweza kumfanya binamu yake Yuda kufanikiwa
Tumia akili kidogo kuelewa utendaji wa Mungu
Role ya kiroho kwa watoto ni ya baba na mama kuwafundisha mila na destuli za KIAFRIKA zenye kuwajenga kiroho kupitia maadili ya Kiafrika.Kila mtu ana role yake, hatuwezi wote kuwa wakulima au wote kuwa wanazuoni.
Sisi wenye familia (watoto) tunathamanini SANA uwepo wa watu wanaochukua role ya kufundisha mambo ya kiroho.
Wachugaji, mashehe, gurus n.k, wote tunawathamini SANA.
Otherwise watoto wetu tunakuwa tumewaachia watu wachafu wachafu wafundishe watoto wetu petty materialistic things na mengine ya kuchefua na kutia kinyaa.
Walimu wa kiroho kazi iendelee [emoji3590][emoji3590]
Mungu kayaruhusu yatokee hayaHawa watu wanafanya mzaha na Mungu. Mwenye enzi Mungu si wakufanyiwa mizaha. Watubu na kuomba huruma yake
Huyo musa,miriam na haruni au yesu na yuda wanahusika vipi na Afrika bwana mbona unakuwa JINGA kiasi hiki unvezaliwa ukakuta baba au mama yako ni muislam siungekuwa muislam?
Au hiyo dini uliyorithi kwa baba na mama yako walizaliwa nayo?
Utumwa wa kifikira ulionao ni mbaya kuliko ugonjwa wa ukoma,wanaojifanya wameikomnoa Afrika ni waongo bali wamewabakizia utumwa WA FIKIRA na kuiga maisha ya wazungu na kusahau maisha na mila za KIAFRIKA
Hakika mkuu, ni mambo mengi sana ya kujiuliza, yaani hawa watu usanii umekua mwingiDunia imechoka sana kila mtu natumie akili yake kumuomba Mungu wake maana hawa madalali wamekuwa wengi sana na wamesababisha madhara mengi sana kwa watu, imagine ,JItu linatoa tako kabisa lkini linadiriki kusimama mbele ya watu na kuwahubiria habari za Mungu, haya mambo ni magumu sana , angalia lile la kule Kenya limeua watu neti waende kwa mungu, stupid kabisa limekamatwa bado majinga na mazuzu yake yanaacha hata kutafuta ugali kwasababu yana njaa yamezagaa na kumiminika nje ya mahakama eti liuaji lao liachiwe, kuna mahala unafika unaona kama kizazi cha sasa hivi cha wapenda maajabu na miujiza kimeshapotea kabisaaaaaaa hasa kina mama , hilo halina ubishi
Kama ambavyo watoto wanaenda shule kupata elimu ya ulimwengu wa kimwili lazima waende shule ya kiroho kupata elimu ya kiroho, kutoka kwa watu walichagua hilo kuwa fungu lao, yaani kuwa walimu wa kiroho.Role ya kiroho kwa watoto ni ya baba na mama kuwafundisha mila na destuli za KIAFRIKA zenye kuwajenga kiroho kupitia maadili ya Kiafrika.
Mchungaji ameiga au kuambukizwa mafinzo ya kiroho na mila zankizungu sasa anawafundisha mafunzo ya kiroho yapi hayo yenye kiwajenga au ushoga?
Baba na mama wafunzeni watoto wenu MILA zenu na siyo wafundishwe na wachungaji mila za wazungu.
Kabla ya wazungu kuleta madhebu ya dini za kijinga hizo shule za kiroho zilikuwa wapi na walimu wa kiroho walikuwa kina nani kama siyo WAZAZI?Kama ambavyo watoto wanaenda shule kupata elimu ya ulimwengu wa kimwili lazima waende shule ya kiroho kupata elimu ya kiroho, kutoka kwa watu walichagua hilo kuwa fungu lao, yaani kuwa walimu wa kiroho.
Mama na baba wata play part yao lakini umuhimu wa shule mahususi unabaki pale pale.
Wageni wamejenga institutions zao, wameandika vitabu vyao, wengine shule zao ni kukremisha maelfu ya mistari tena sio kuwa kusoma, kwa kumsikiliza mwalimu, wanaona kutoa elimu kwa mdomo ni muhimu zaidi kuliko kwa maandishi, na wamefanikiwa kurithisha elimu kwa vizazi na vizazi kwa maelfu ya miaka (naongelea Wahindu ).
Institutions zetu waafrika ziko wapi? Maandishi yetu yako wapi? Utamaduni upi wa kiafrika unarithisha elimu isiyobadilika kutoka kizazi mpaka kizazi?
Hata waganda wenyewe simulizi lao la Kintu (binadamu wa kwanza) sijui kama wanalijua. Isingekua huyo mzungu kuliandika lingepotea!
Kintu - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Me I'm not against "mila na desturi" but there's nothing much there, especially spiritual knowledge! Or rather wanaoijua hawaoni umuhimu kuwapa wengine!
Hasa mitaa ya Kawe na MwengeWapo watu wanaodhani ni ujanja au uwerevu ku-take advantage ya ujinga wa wenzao kwa kuwahadaa kwamba wao ni mitume au manabii au madalali au mawakala au wasemaji wa Mungu
Wanakusanya makundi makubwa ya watu wapumbavu na kuwachosha kwa ibada ndefu na kuwaaminisha kwamba wanawapa revelations au baraka za Mungu kwa imani ya kupata maisha ya furaha mbinguni au kwa njia ya kupata mali na heri hapa duniani.