Mungu hawezi kukuokoa mbele ya Mwanamke aliyeamua kukuangamiza. Unajua ni kwa nini?

Summary kwa wasiopenda makala ndefu; mtibeli anasema mpende mwanamke ila uwe na mipaka, afanye majukumu yake kama mwanamke wako na usirogwe kuleta mazoea nae au kumwachia afanye majukumu yako. Kifupi muishi kama Boss na Mfanyakazi wake. Ukiondoa mpaka na kumsogeza karibu kupitiliza inavyostahili basi jiandae kutawaliwa na kupoteza nafasi yako na mwisho atakureplace kisha kukuua
 
anaweza
 

Andika unavyoandika lakini usikufuru,unaongea kana kwamba ulikaa na Mwenyezi Mungu akakwambia hayo mambo​


Angalia mkono wako mwenyewe unaotumia kuandika usikuangamize
 
Kwa kifupi mwanaume hapaswi kuongozwa na kiumbe kinachobadilika kutokana na hedhi ya mwezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…