Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

Mungu humpa kila mtu utajiri ila mtu huukataa

Mambo yake muachie nwenyewe... alikua anajua na bado akamla...
 
Huyo jamaa angekuwa na taarifa sahihi za yule samaki angeweza kutajirika lakini hakuwa na ufahamu wowote kuhusu yule samaki hivyo alichobaki nacho ni majuto mara baada ya hizo kampuni za viumbe wa baharini kuja kutoa tangazo lao.
Ndio maana wanasema mshike sana elimu
 
Back
Top Bottom