Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 15, 2021 #41 Mambo yake muachie nwenyewe... alikua anajua na bado akamla...
TOPLINE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2018 Posts 418 Reaction score 489 Mar 15, 2021 #42 Alvin Slain said: Huyo jamaa angekuwa na taarifa sahihi za yule samaki angeweza kutajirika lakini hakuwa na ufahamu wowote kuhusu yule samaki hivyo alichobaki nacho ni majuto mara baada ya hizo kampuni za viumbe wa baharini kuja kutoa tangazo lao. Click to expand... Ndio maana wanasema mshike sana elimu
Alvin Slain said: Huyo jamaa angekuwa na taarifa sahihi za yule samaki angeweza kutajirika lakini hakuwa na ufahamu wowote kuhusu yule samaki hivyo alichobaki nacho ni majuto mara baada ya hizo kampuni za viumbe wa baharini kuja kutoa tangazo lao. Click to expand... Ndio maana wanasema mshike sana elimu