Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,307
Reaction score
25,932
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.

Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?

Aione: Ishmael na Kiranga
 
Ndugu haisaidii sana kujua wapi roho inaifadhiwa kabla ya hukumu. Jambo LA muhimu zaidi kujua no kwamba Heri wafu wafao katika Bwana tangy sasa wapate kupumzika baada ya taabu zao.kumbuka turn Kuwait cha muhimu no kutafuta kwa bidii kuwa name aman na watu wote na huo utakatifu ambao hapana mtu atakaye mwona Bwana asipokuwa nao.
 
Unataka mada yako ijadiliwe katika mipaka ipi ya kiimani?

Unataka majibu toka kwa Waislamu, Wakristo, Wahindu, Wapagani...?
 
Kwanza jiulize roho ni nini. Kulingana na Biblia, roho inayomtoka mwanadamu na hivyo mauti kumfika inatajwa kuwa ni pumzi. Neno roho pia kuna mafungu yanaitaja kama mwili uliotokwa na pumzi. Sema wengi wameaminishwa kuwa kuna roho(kitu ndani ya mtu) ambacho huchomoka mtu akifwa. Hata mfalme Sulemani licha ya hekima nyingi aliyojaliwa aliishia kusema hivi.
ni nani ajuaye kama roho ya binadamu huenda juu, na kama roho ya mnyama huenda chini?. Hiyo kwenye bold inatoka mhubiri 3:21.
 
Lakini pia, kutoka kitabu cha Ufunuo 6:9,10, tunadokezwa hivi.
Na alipoifungua muhuri ya tano, nikaona roho zao waliochinjwa kwa ajili ya neno la Mungu, na kwa ajili ya ushuhuda waliokuwa nao. Wakalia kwa sauti kuu wakisema...wala kuipatia haki damu yetu kwa hao wakaao juu ya nchi?.
 
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.

Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?

Aione: Ishmael na Kiranga
Dalili za kifo hizo anza kuandika wosia
 
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.

Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?

Aione: Ishmael na Kiranga

Kiimani...
Lakini kuna assumption nyuma ya hoja yako unatakiwa uweke wazi msingi wake.
Umeassume kuwa Mungu ni mhifadhi wa roho
Labda utoe sababu zilizokufanya useme Mungu ni mhifadhi. Hii itasaidia kujua ukweli wa namna anavyohifadhi Kama kweli yeye ndiye mhifadhi wa roho.
Mungu ni Roho na wamwabuduo yawapasa kumwabudu katika roho na kweli.
 
Biblia hiko well explicit kwamba mwanadamu atarudi mavumbini alikotoka hila lipo tumaini la Ufufuo wa uzima.
 
Hivi Ngemela, Wasisimikisi na Mwakiswalele ni dini gani?

1.Ngemela..Free church
2.Wasisimikisi..Mashahidi wa Yehova_Yehova witness
3.Mwakiswalele...hii sijui.....ngamanya nnkamu
 
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.

Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?

Aione: Ishmael na Kiranga

Swali lako linakosa uhalali wa wa kimantiki, kwa sababu linaanza na premise ya imani kwamba mungu yupo, kinyume chake, kwa kuwa uwepo wa mungu ni imani tu, swali lako linakosa uhalali huo, kwa sababu uwepo wa mungu ni "issue" inayobishaniwa bado mpaka leo.
 
Mkuu Ibambasi,tafadhali jibu kadiri ujuavyo.
Roho ni kama upepo....tunaona Yesu akitoa mapepo 2000 kwa mtu1,hivi roho zimehifadhiwa tokana na hukumu zikisubiri Siku ya Bwana ambayo yaja kama mwizi ila watakatifu wataijua tuu...hivi Huyo ibambasi ni yule WA mbeya tech ya 90s
 
Last edited by a moderator:
JF bhana... Ajabu kuna watu watakuja na majibu.
^^
 
Back
Top Bottom