Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga