Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,307
- 25,932
Dalili za kifo hizo anza kuandika wosiaKiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
Unataka mada yako ijadiliwe katika mipaka ipi ya kiimani?
Unataka majibu toka kwa Waislamu, Wakristo, Wahindu, Wapagani...?
Hivi Ngemela, Wasisimikisi na Mwakiswalele ni dini gani?
Kiimani huaminishwa kuwa wakati wa kifo roho hutengana na mwili. Huaminishwa pia kuwa wakati Yesu atakaporudi tena duniani atawafufua wafu,yaani marehemu wa sasa ambao roho zao zimetengana na miili yao.
Je,Mungu huzihifadhi wapi roho za marehemu ili wakati wa ufufuko roho iunganishwe tena na mwili?
Aione: Ishmael na Kiranga
Biblia hiko well explicit kwamba mwanadamu atarudi mavumbini alikotoka hila lipo tumaini la Ufufuo wa uzima.
Roho ni kama upepo....tunaona Yesu akitoa mapepo 2000 kwa mtu1,hivi roho zimehifadhiwa tokana na hukumu zikisubiri Siku ya Bwana ambayo yaja kama mwizi ila watakatifu wataijua tuu...hivi Huyo ibambasi ni yule WA mbeya tech ya 90sMkuu Ibambasi,tafadhali jibu kadiri ujuavyo.
JF bhana... Ajabu kuna watu watakuja na majibu.
^^