Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Nishakuwa imara sana lakini bado hajafanya chochote, Kama yupo kweli basi anapaswa kuniomba msamaha 🙏
Hapana mtumish hajashindwa wala hawezi shindwa

Hajawahi acha kumjibu mtu maombi yake

Unafaa uwe imara kama mlima piga moyo konde MUNGU MWENYEZI ni MUNGU mwenye nguvu
 
Mungu nahisi nimekukosea kwa kuufungua uzi huu na kuusoma. Nisamehe Kristo Yesu, nakuaminj na nakutegemea katika maisha yangu. Umenitoa mbali sana, kama sio wew kuwambwa mslabani sijui ningekua wapi mimi.
 
Kumbe ni kweli Mungu hayupo eeh.
 
Mungu anapaswa kuniomba msamaha.
Sasa kama anaratibu mpango si kakupa akili na wewe zitumie akili zako kuratibu mipango yako. Mungu ameumba binadamu na akawapa utashi/akili za kuwaongoza katika maisha yao. Sasa tuzitumie akili zetu vyema.
 
S
Sawa Mkuu 🙏
 
Ilikuwa ni busara sana kama ungekaa kimya tu,usingepungukiwa na chochote kuliko kuongezekewa na maudhi uliyo pata kwenye uzi huu na hatia siku zinazo kuja.
 
Ngoja akutandike jipu la mgongo ndio utajua ukubwa wake.........unadhani mwenyezi mungu ni sawa sawa na baba ko mnywa gongo unayemtolea utumbo wako kira wakati...........sasa subiria
 
Yesu wangu
 
Baada ya kushiba maboga yaliyopandwa kwenye ardhi yake ukiwa unavuta Oxygen ya bure kabisa kutoka kwake,akakupa na utashi wa kujiona shababi na kumtaka akuombe msamaha...dah...
Btw...mbona umeanzia mbali ungeanza baba na mama kwanza ambao starehe zao faida ni wewe.
 
UNAHITAJI MSAADA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…