Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Sasa hivi maisha ya technology na usasa wa ajabu umetufanya kuwa walaini sana tukipitia madhila kidogo tuu tunaanza kulia lia
Kama unaamini ni madhila kidogo, Basi endelea kuwaza tena.
 
Ngoja akutandike jipu la mgongo ndio utajua ukubwa wake.........unadhani mwenyezi mungu ni sawa sawa na baba ko mnywa gongo unayemtolea utumbo wako kira wakati...........sasa subiria
Kwanza KIRA ni nini?

Mungu kama upo kweli unapaswa kuniomba msamaha.
 
Serikali ione hili hali ya watu kuchanganyikiwa imekuwa tishio.
Aisee 🙌
 
Ilikuwa ni busara sana kama ungekaa kimya tu,usingepungukiwa na chochote kuliko kuongezekewa na maudhi uliyo pata kwenye uzi huu na hatia siku zinazo kuja.
Mungu anapaswa kuniomba msamaha
 
Baada ya kushiba maboga yaliyopandwa kwenye ardhi yake ukiwa unavuta Oxygen ya bure kabisa kutoka kwake,akakupa na utashi wa kujiona shababi na kumtaka akuombe msamaha...dah...
Btw...mbona umeanzia mbali ungeanza baba na mama kwanza ambao starehe zao faida ni wewe.
Sikumwomba anilete duniani, Nilimwomba?
 
Pole sana sio wewe tu unae pitia changamoto Mungu ametupa mitihani ili tuishinde chunguza njia zako je utamzid utakatifu Mungu mimi nilirisk my all things kwa ajili ya Mungu ila siwezi kumkufuru kwa hali ninayo pitia kwa sababu sio mara ya kwanza kupata changamoto naamini nisipo kata tamaa ataniletea njia mpya kabisa so kua makini kipindi hiki jitafakari madhaifu yako vipi utayashinda ukishakua sawa mm pia niko natafakari na kuondoa zile tabia ndogo ndogo zinazo nirudisha nyuma wanasema ivi somo lisipo eleweka linarudiwa upya usiogope kurudiwa na Mungu amini analengo lake usipo kata tamaa utafanikiwa sali kila siku roho itatulia utapata tumaini
 
Huu ni uwenda wazimu kabisa unawezaje kumdhihaki Mwenyezi Mungu kiasi hiki?
Hata hivyo Mwenyezi Mungu ni mwingi wa Rehema. Hapo ana uwezo wa kukugeuza bundi ndani ya dakika sifuri lakini anakuacha tu huwenda siku moja ukaomba msamaha kwa dhambi zako.

ila ukifa na madhambi yako Haya hujamuomba Mwenyezi Mungu msamaha basi cha moto utakiona
 
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.

Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.

Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.

Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Alikuumbia hiyari ya kutumia ama kutotumia akili yako.

Muombe msamaha yeye kwa kuzurura zurura duniani bila mkakati wowote wa maana
 
Maisha yako perfect na hakuna kasoro
Maisha hayawahi kuwa perfect Mimi n wewe Tupo ktk nchi isiyo na vita lakini kuna wengine wapo Syria huko wapo Ukraine huko wanakufa kama vifaranga vya kuku Au sisimizi , Ukitaka Kuya fahamu maisha na dunia usiangalie ktk upande wako pekee itazame dunia nzima Ilivyo kisha tafakari
 
Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.

Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.

Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.

Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha
Daima mungu nikama nikama fundi ujenzi anapo taka kuijenga nyumba nzuli kwenye kiwanja frani

Basi huanza kuivunja vunja nyumba dhaifu na mbovu ya zamani nakuanza kuiunda nyumba imara mpya

Udogo wa kufikiri ndiyo huku fanya umwone mungu Ana stahili kukuomba msamaha

hivyo hivyo ukubwa wa fikra zako baadae utakufanya uje ujione kwamba ulikosea na kumwomba msaha Huyo mungu
 
Hapa ndo umuhimu wa kuvaa condom unapoonekana au kupiga bao nje. Kuja jamaa mmoja namshauri kila siku avae ndom maana naye alivyo akizaa atatoa mtoto ambaye ni kilaza kama huyu
Kwahiyo huwa anakumbato kavu?
 
Ndyo maisha haya Kuna siku unaweza ukadhani siku 7 zijazo utakufa ukiwa usingizini na mawazo na Wala haitokuja kuwa hvyo.
 
Back
Top Bottom