Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 649
- 975
- Thread starter
-
- #221
Kama unaamini ni madhila kidogo, Basi endelea kuwaza tena.Sasa hivi maisha ya technology na usasa wa ajabu umetufanya kuwa walaini sana tukipitia madhila kidogo tuu tunaanza kulia lia
Kwanza KIRA ni nini?Ngoja akutandike jipu la mgongo ndio utajua ukubwa wake.........unadhani mwenyezi mungu ni sawa sawa na baba ko mnywa gongo unayemtolea utumbo wako kira wakati...........sasa subiria
AsantePole sana , ni kipindi kinapita
AsanteUNAHITAJI MSAADA
Mungu anapaswa kuniomba msamahaIlikuwa ni busara sana kama ungekaa kimya tu,usingepungukiwa na chochote kuliko kuongezekewa na maudhi uliyo pata kwenye uzi huu na hatia siku zinazo kuja.
AsantePole ibilisi
Sikumwomba anilete duniani, Nilimwomba?Baada ya kushiba maboga yaliyopandwa kwenye ardhi yake ukiwa unavuta Oxygen ya bure kabisa kutoka kwake,akakupa na utashi wa kujiona shababi na kumtaka akuombe msamaha...dah...
Btw...mbona umeanzia mbali ungeanza baba na mama kwanza ambao starehe zao faida ni wewe.
Maisha yako perfect na hakuna kasoroMungu ni pyramid scheme hayupo , Angekuwepo Maisha na dunia kwaujumla isingekuwa na kasoro nyingi kiasi hiki
Upotoshaji ni mwingi sana jf! mnapoteza watu wa mungu Kwa negative izo mnazoongeaNitake sifa ili iweje?
Mungu anapaswa kuniomba msamaha π
Alikuumbia hiyari ya kutumia ama kutotumia akili yako.Habari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha.
Maisha hayawahi kuwa perfect Mimi n wewe Tupo ktk nchi isiyo na vita lakini kuna wengine wapo Syria huko wapo Ukraine huko wanakufa kama vifaranga vya kuku Au sisimizi , Ukitaka Kuya fahamu maisha na dunia usiangalie ktk upande wako pekee itazame dunia nzima Ilivyo kisha tafakariMaisha yako perfect na hakuna kasoro
Daima mungu nikama nikama fundi ujenzi anapo taka kuijenga nyumba nzuli kwenye kiwanja franiHabari wanajamiiforums?
Leo nina kesi na Mungu, Kama yupo kweli anapaswa aniombe msamaha.
Sijawahi kumkosea kwa chochote ila yeye amenikosea mara nyingi zaidi.
Pia, Sikumuomba anilete duniani, ila yeye alinileta bila ridhaa yangu kisha aninyime kila ninachostahili.
Mungu toka ulipo uje uniombe msamaha
Kwahiyo huwa anakumbato kavu?Hapa ndo umuhimu wa kuvaa condom unapoonekana au kupiga bao nje. Kuja jamaa mmoja namshauri kila siku avae ndom maana naye alivyo akizaa atatoa mtoto ambaye ni kilaza kama huyu
πππππKila mtu atachanganyikiwa kwa mda wake .