Mungu kama upo unapaswa kuniomba msamaha

Mungu baba msamehe bure mtu huyu halijui alitendalo
 
Umechanganyikiwa mkuu. Mungu alihusikaje kwenye mechi ile unatafutwa. Acha kumtukana Mungu na ukiona unaanza kumtukana Mungu jua unaanza kuchanganyikiwa
 
Bangi mbaya, mwambie Baba yako angevaa condom angeisadia dunia kutoleta kituko duniani kama wewe.
Sio Kila jambo mnasingizia bangi, kwa ambao hawajawai kupitia maisha magumu hawawezi kumulewa huyu mtoa mada, ipo hivyo mtu anapopitia changamoto ambazo haoni ufumbuzi, lawama zote huangukia kwa huyo kiumbe wa kusadikika (Mungu) kuwa ndie sababu ya matatizo kumbe si kweli, pia wapo wanaolaumu wazazi wao, wengine wanalaumu mifumo(serikali).

Mungu anaehadithiwa na hizo dini hausiki na maisha ya viumbe dunian, ndiomaana haleti solution la matatizo kwa wafuasi wake wanaokesha kumuomba na kumuabudu, solution ni kupambana na changamoto na sio kuomba/kutegemea miujiza ya kusadikika
 
Hapa ndo umuhimu wa kuvaa condom unapoonekana au kupiga bao nje. Kuja jamaa mmoja namshauri kila siku avae ndom maana naye alivyo akizaa atatoa mtoto ambaye ni kilaza kama huyu
 
Kwa hiyo umewaacha wazazi wako waliozamuana huko ukaona ukomae na Mungu?
 
Acha bangi kijana! au kama unataka sifa mtandaoni sawa ila l kama umeongea haya kutoka moyoni naomba utafute msaada Kwa sycologist
 
Wewe unavyomchinja kuku au ng'ombe na kuumla kwani kakukosea nini? We kwa Mungu si kama kuku au ng'ombe tu, we ulivyokuwa na mamlaka kwa wanyama ndio hivyo hivyo Mungu atakuwa Mungu kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…