Nyamwage
JF-Expert Member
- Oct 16, 2020
- 760
- 1,875
Habari.
Kijana wangu mmoja nimemkuta akinipiga majungu kwa tajiri nimebaki nacheka huku nasikitika
Eti anamwambia boss asinipe kazi mimi bali awe anampa yeye eti mimi Nina bei kubwa yeye atamfanyia kwa bei ya chini
Kijana wangu huyu nataka nimtimue lakini namuonea huruma