Hivi kusikitika na kucheka vinaweza kwenda pamoja?Habari.
Kijana wangu mmoja nimemkuta akinipiga majungu kwa tajiri nimebaki nacheka huku nasikitika
Eti anamwambia boss asinipe kazi mimi bali awe anampa yeye eti mimi Nina bei kubwa yeye atamfanyia kwa bei ya chini
Kijana wangu huyu nataka nimtimue lakini namuonea huruma
Hutakiwi kumuonea Huruma mtu yeyote anayejaribu kucheza na UGALI wako,,,,kama sio Mshindani wako,,ni kijana wako wa Kazi FUKUZA HARAKA SANA,,,,,USIMUONEE HURUMA HATA KIDOGO....Kijana wangu huyu nataka nimtimue lakini namuonea huruma
Haiendagi hivyo...inatakiwa amuulize...dogo vipi tajiri anaanza kukuoa kazi lini?Kamwaga mboga mwaga ugali ..alipokua anafanya Jambo lake hakua na huruma..fanya maamuzi huruma itakuponza
KIKULACHO KI NGUONI MWAKO, ADUI YAKO HAYUPO MBALIHabari.