Mungu kutupa ubongo/akili huenda alimaliza kila kitu

Killing machine

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2022
Posts
2,396
Reaction score
3,444
Habari gani wakuu?

Kama kinavyo jieleza kichwa Cha uzi hapo juu kwamba...

Kama ilivyo kwa gali mpya uinunuapo Basi lazima utapewa tool box ambayo itakuwa na vifaa vyote mhimu kwa ajili ya kuitengenezea gali yako itakapo pata tatizo la kiufundi

Basi hivyo ndivyo ilivyo kwa ubongo juu ya mwili wako

Kiumbe chochote chenye damu kina ubongo nahii nikwasababu muumbaji alijua kwamba Kama ataumba kiumbe akamkamilisha pasipo ubongo

Basi muumbaji angekuwa nakazi kubwa ya kuwaambia viumbe hao fanya hivi na hivi ili uepuke hili na hili

Fanya hivi nahivi ili upate hiki nahiki au ukwepe hiki na hiki

Hebufikilia huenda tusinge lala kama tungekuwa hatuna ubongo Wala kuamka Kama tungekuwa hatuna ubongo

Tusinge tafuta chakula bila ubongo Wala kujiskia njaa bila ubongo

Ubongo nikama dash board..

kwenye gali hutoa ishara Kama mafuta yameisha

Hutoa ishara pia kama mlango haukufungwa vizuli

Hutoa ishara pia kama hauku vaa mkanda wa usarama wako

Hivyo hivyo kwenye mwili wako ukiumwa kichwa haimaanishi unaumwa kichwa Bali tafsiri yake nikwamba ubongo una kupa taarifa kwamba

Kuna sehemu ya mwili wako Ina tatizo

Labda tumbo, joints,skio, ini,Figo nk

Ubongo wa mwanadamu ndiyo hukuambia kwamba hapa Panajua Kali kaa kivulini..

Ubongo ndiyo huupumzisha mwili kwa usingizi na huu amsha mwili baada ya kupumzika kwa kuutoa usingizi

Ubongo ndiyo unao miliki kumbu kumbu zote Kama za wanyama wakali,wapole, Wala majani,Wala nyama,nk

kwamfano...

utembeapo polini ukakutana na Simba chakwanza macho humwona Simba"..

.. baada ya kumwona Simba macho hupeleka taarifa ya taswira ya Simba kwenye ubongo

baada ya ubongo kuipokea taswila huingia kwenye chumba Cha ubongo Cha kumbu kumbu ili kuzipata taarifa za taswila iliyo onekana

Kupita Kumbu kumbu zake ubongo Hutoa taarifa kwamba taswila ya mnyama aliye onekana jina lake anaitwa Simba"

nimnyama mla nyama na huweza kuula hata mwili wa mwana damu

Ubongo hauishii hapo Hutoa sifa za Simba pia kwamba mnyama huyo Ana nguvu,nimjuzi wa kukimbia na udhaifu wake nikushindwa kupanda miti hasa iliyo simama wima

Baada ya hapo ubongo utakuwa umetoa tahadhali kwamba mwili upo sehemu hatari

Kitakacho fwata baada ya hapo ubongo huziamsha hormones/vimiminika maarumu vilivyomo ndani ya mwili kwa ajili ya ulinzi wa mwili kwa wakati maarumu

Kwa mfano Kuna hormone inaitwa adrenalin inayo tokana na adrenal

Baada ya ubongo kuona hatari ya Simba hormoni hii huamuliwa na mfumo wa ubongo kuvujia

Baada ya kuvujia hormone hiyo husafiri mpak kwenye Moyo ambako ikifika kwenye Moyo husababisha mapigo ya Moyo kwenda Kasi

Mapigo ya Moyo yakianza kwenda Kasi hupeleka mfumonwa upumuaji kwenda Kasi pia/kupumua haraka haraka

Kupumua haraka haraka hupeleka uingizaji wa Kasi wa oksjean/hewa safi kwenye mapafu

Kisha oksjean hiyo husafilishwa mpaka kwenye misuri ya mwili Kama misuri ya mikono,miguu,mapaja,shingo,macho,nk kwa ajili ya kiweka misuri imara ili kujiandaa na uvamizi/

Baada ya oksjean kujaa kwenye misuri misuri huanza kuumukakutanuka nakuwa tayali kwa lolote ambapo inaweza kuwa kupambana na Simba au kumkimbia Simba

Na chaajabu Mambo yote hayo hufanyika ndani ya sekunde tu na ubongo""

Hapa ndipo ninapo sema wanao sema mungu hayupo

Je! Wana dhani ninani alibuni uwezo huu wa ubongo kujiendesha wenyewe Tena kwa mda mfupi kiasi hicho?

Ukiumwa ubongo ndiyo hufanya mchakato mzima wa kupambana na ugonjwa hata kabla ya wewe ndugu na jamaa kujua kwamba unaumwa

Mpaka unakuja kujua ubongo tayali ulisha kupa tahadhali nyingi Sana pasipo wewe kujua..

na tahadhali zenyewe nikama ifwatavyo...

kichwa kuuma,misuri ya macho kucheza cheza,vichomi kwa mbali mbavuni,chini ya kitovu,miwasho sehemu za siri,chafya kuharisha ,kutapika,kusinzia mchana, nk

Hizo zote nanyingine ambazo sijaziandika ni ishara kwamba mwili uki ratibiwa na ubongo unapambana na Mambo mazito ndani ya mwili wako

Ndiyo maana wenzetu wazungu mafua huenda hospital,

chafya zikizidi huenda hospital kikohozi huenda hospital

kwani Wana jua kwamba hizo NI dalili za ugonjwa ambao hauja onekana nje

Wao huziita body internal effects

Hivyo ubongo nikiungo kibwa na mhimu Sana kwenye miili yetu

Huwezi amini kwamba..

katika zawadi kubwa ambazo mungu alitupa Basi ubongo ni number moja

Huwezi amini nikisema hivyo utasema vipi kuhusu Moyo?

Nami nitakujibu hata Moyo ili udunde una utegemea ubongo Tena ubongo wa nyuma

Ujasiri, uvumilivu,upole,ukali utulivu, vyote vipo ndani ya ubongo

Naweza kusema mwanadamu bila ubongo nikama simu yako hiyo with no settings ni bike kabisa

Mwanadamu bila ubongo nikama gali with no tool box that mean nothing

Ubongo ndiyo msingi wa kila vumbuzi unazo ziona Leo kuanzia Moto,umeme, phones,magari,x Ray's,robots,saa,majumba,hesabu, computers, guns, bomb's, nk

Kuna maajabu mengi ya ubongo ambayo ukiya fikia ukajua kuutumia ubongo wako vizuli utaishi Kama uko peponi

Je Usha wai kuskia kuhusu meditation?

Jifunze utakutana na mengi ya kustaajabisha haya yote yapo ndani ya ubongo

Nihitimishe kwa kusema...

Kuna usemi wanasema mungu hakupi jalibu usilo liweza

Huenda walimaanisha kwamba tatizo lolote litakalo kuja juu yako utatuzi wake mungu aliuweka katika ubongo wako

Nikama vile tatizo lolote litakalo tokea kwenye simu yako/computer yako Basi ingia settings utalitatua kwani mzungu aliu weka utatuzi wake huko

Ubongo ni body settings utumie vizuli utakusaidia na mengi Sana

Mungu yupo lakini katupa msaidizi mkuu badara yake ambaye ni ubongo na ndani yake naye yumo na hutenda kazi kupitia humo

Kama asemavyo Mimi ni ndani yenu nanyi mu ndani yangu
 
Ubongo hutatua matatizo yote ambayo sio mageni na mazingira yaliyopo kwasababu kazi kubwa ya ubongo ni kumuunga mtu na mazingira ya kidunia, kwahiyo unakariri namna mambo yanavyopaswa kwenda au kuwa kwa kuzingatia matokeo ya Kila yambo huko past, lakini jambo lolote ambalo ni geni na halina historia yoyote kuwepo huwa ubongo hauwezi kulitatua.

Umetolea mfano wa gari ila gari huwa halitoi sign kama halitaongozwa.

Andiko zuri.
 
Mu gu

Mungu hakuumba akili isipokuwa nyoka ndiye aliyewapa akili Adam na Eva wakajua baya na zuri
 
Nyoka hakuwapa akili isipokua aliwafungulia code fichi na walipoenda kuitumia wakapata akili na sio akili ila walifunuliwa, akili mtu huzipata kwa experience ya kuona kusoma kuhadithiwa na kuhifadhi na uwezo huu wao walikua nao tayari.
 
Kweli kabisa, nilishawahi kusikia kuwa hata sura za watu inaowaona kwenye ndoto ulishakutana nao huenda barabarani hukumtilia makini ila ubongo uli nakiri, sababu ubongo hauwezi tengeneza sura ya mpya
Huo ndio ukweli halisi, kwahiyo kazi ya ubongo ni kutunza kumbukumbu lakini linapokuja swala la kuchanganua mambo ndani ya kumbukumbu hizo hapa ni ushirikiano wa dosho na wewe halisi.

Wewe halisi na dosho wasipokua na muunganiko ulio katika uwiano wenye kuleta maana utakua wa kawaida sana hasa katika mambo ambayo ni mapya kabisa hapa ulimwenguni.

Kwasababu ubongo pekee hautoshi kuinterpret jambo ambalo halijawahi kuliona kulisikia au kilisoma au kusimuliwa.

Ni sawa na huo mfano wa gari ambao jamaa kautoa hapo, kwamba mwisho wa siku lazima awepo mtu wa kulicontrol ambae anajua kuzitafsiri hizo signs na kuziweka katika hali inayotakiwa.
 
Maajabu makubwa ni nayo shangaa ni kuwa nataka kuongea na maneno huundwa kwa ajili yangu yani sifikirii sana
Kwasababu tayari umeshakariri, si unaona hata uwezo wako wa kujenga hoja sasa hivi umekua tofauti na enzi zile ambazo ulikua mdogo, kwasababu umejifunza kwa muda mrefu na umejijengea uwezo wa kuchagua jambo lipi uliongee sehemu gani.
 
Huo ndio ukweli halisi, kwahiyo kazi ya ubongo ni kutunza kumbukumbu lakini linapokuja swala la kuchanganua mambo ndani ya kumbukumbu hizo hapa ni ushirikiano wa dosho na wewe halisi.

Wewe halisi na dosho wasipokua na muunganiko ulio katika uwiano wenye kuleta maana utakua wa kawaida sana hasa katika mambo ambayo ni mapya kabisa hapa ulimwenguni.

Kwasababu ubongo pekee hautoshi kuinterpret jambo ambalo halijawahi kuliona kulisikia au kilisoma au kusimuliwa.

Ni sawa na huo mfano wa gari ambao jamaa kautoa hapo, kwamba mwisho wa siku lazima awepo mtu wa kulicontrol ambae anajua kuzitafsiri hizo signs na kuziweka katika hali inayotakiwa.
Hivyo utafouti kati ya binadamu na wanyama ni nini, ni ile spirit au aina ya ubongo tulionao kwamba unaweza kuform mtandao na muunganiko imara wa neurons kwenye ubongo kutuwezesha kujua vitu vingi, au maumbile tuliyonayo
 
Nadhani kibiolojia ni kwasababu ya upekee wa aina ya ubongo ambao tuko nao kwa mfano uwepo wa neocortex yenye kutufanya tupate wepesi wa kujifunza na kuweka vitu katika mpangilio unaotakiwa(wataalam watatueleza zaidi hapa).

Ila pia kiroho mwanadamu ndio anakua na muunganiko wa yeye na yeye wa ndani yake kitu inayofanya aweze kuwa tofauti na wanyama.

Najua hii watu wengi huwa hawaamini ila amini usiamini kuna wakati ubongo wa binadamu huwa unafanya mambo ambayo hayapo kabisa katika mfumo wa ulimwengu na haya huwa hayabebwi na ubongo wa kawaida tu ila mara nyingi huwa ni ajenda ambazo ni fichi.

Fumbo la nyoka ndio lilisaidia kuleta huo muunganiko.
 
Kuna sehemu nilisoma wanasema kuwa kilichofanya human species kuwa tofauti na species nyingine ni sababu ya vitu vitatu
1.oposable thumb - kwa tasfiri ni kile kidole gumba ila maana yake ni uwezo wa binadamu kushika na kutumia vifaa kwa dole gumba hivyo anaweza kutengeneza chochote

2.Predator eyesight - predator wengi wanabidi wa hunt kwa kutengeneza mbinu mbali mbali aidha uongo au ujanja ili ampate prey

3. Languange - idadi kubwa ya vocabulary tuliyonayo kwenye lugha yetu katika kuwasiliana

Ukichanganya Hivi vitu vitatu kwa pamoja ndo vilimfanya binadamu kuwa na akili na kuendelea kuliko viumbe wengine
 
Na wewe unasemaje kuhusu hilo, unaamini hizo sababu zinaweza kuingiliana na uwezo wa ubongo wa mtu? Labda hizi ni sababu katika muktadha fulani fulani ila in general sioni kama zinaweza kuwa na muunganiko wa moja kwa moja.
 
Naona ya 2 na 3 zina uhusiano na ubongo na ya 1 inauhusiano na mwili, hivyo ukivichanganya ndio vinakuwa na impact kubwa
 
Back
Top Bottom