- Thread starter
- #221
Mkuu uthibitisho wa kisayansi ni wewe mwenyewe. Kama unatafuta uthibitisho wa kisayansi kwamba kuna Mungu, mtu ndio uthibitisho huo.Mkuu ni vyema ukatupa huo uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu sio dhana ya kufikirika (imani) bali ni kitu halisi na kinathibitika
Hakuna katika vitu vinavyoonekana kinachothibitisha kuwa kuna Mungu isipokuwa ulimwenguni na mtu ndio kielelezo chake.