Mungu maana yake ni nini? Au Mungu ni nini?

Mkuu ni vyema ukatupa huo uthibitisho wa kisayansi kwamba Mungu sio dhana ya kufikirika (imani) bali ni kitu halisi na kinathibitika
Mkuu uthibitisho wa kisayansi ni wewe mwenyewe. Kama unatafuta uthibitisho wa kisayansi kwamba kuna Mungu, mtu ndio uthibitisho huo.

Hakuna katika vitu vinavyoonekana kinachothibitisha kuwa kuna Mungu isipokuwa ulimwenguni na mtu ndio kielelezo chake.
 
Sawa chief, Muda ni mwalimu mzuri.

Ishi maisha unayoyaona wewe ni sahihi.
 
Mkuu ni vyema zaidi mgejikita kwenye IMANI kwasababu imani inachotaka ni kuamini tu

Wanazuoni wasomi na wabobevu wa imani za dini wanakubaliana jambo moja kwamba Mungu Muumba vyote yupo na hachunguziki kwa akili za kibinadamu..... Mungu yupo above science
wanachoweza kufanya ni kukuaminisha Mungu yupo lakini sio kukuthibitishia yupo

Nilidhani wewe unao uthibitisho lakini naona onazungusha maneno tu mkuu
Na ajabu zaidi ni pale unaposema Mungu anathibitika kisayansi....... sayansi haina longo longo mkuu
Kama inajua kitu inakupa FACT kama haijui ni haijui
Sijawahi kuona Scientific fact about GOD
Nategemea uzitoe hapa
 
Mkuu ili tusifanye mambo kuwa magumu. Naomba ueleze neno "uthibitisho" ni nini? Kisha tunaweza kuendelea.
 
Tafsiri rahisi
Thihirisha ukweli wa jambo pasi na shaka
Mkuu ili tusifanye mambo kuwa magumu. Naomba ueleze neno "uthibitisho" ni nini? Kisha tunaweza kuendelea.
 
Tafsiri rahisi
Thihirisha ukweli wa jambo pasi na shaka
Sawa mkuu. Sasa naomba nikuulize swali kulingana na hii tafsiri yako.

Je, wewe hapo unadhihirisha nini?
 
Sawa mkuu. Sasa naomba nikuulize swali kulingana na hii tafsiri yako.

Je, wewe hapo unadhihirisha nini?
Mkuu kwa tafsida ya mjadala huu mimi sihitaji kudhihirisha chochote
You’re the one who claim there is God....... PROVE IT
 
Nyinyi mnasema hakuna Mungu, Mmethihirisha ukweli wa hilo jambo pasi na shaka ?
Mkuu mleta mada amekuja na HOJA kwamba kuna MUNGU
sisi tukataka uthibitisho wa uwepo wa Mungu

Thibitisha na kama huwezi sema siwezi
 
Mkuu kwa tafsida ya mjadala huu mimi sihitaji kudhihirisha chochote
You’re the one who claim there is God....... PROVE IT
Mkuu nani kati ya ulimwengu na watu anamtegemea mwenzake ili awepo?
 
Mkuu nani kati ya ulimwengu na watu anamtegemea mwenzake ili awepo?
Mkuu mbona umeanza kunishindilia maswali tena badala ya kuthibitisha?

Watu ni sehemu ya ulimwengu mkuu
Logically watu wote tunaweza tukafa na kupotea na ulimwengu ukaendelea kuwepo kama ambavyo hakuna watu wanoishi kwenye sayari zingine kama Mars Jupiter hata mwezini nk
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣una maswali magumu sana
 
Usichoke mkuu hapa tunabadilishana uzoefu na maarifa. Lengo tujue ukweli ni upi.

Hapo umeeleza vizuri. Hatahivyo nina swali.

Mkuu, unafikiri sayari yetu ya dunia inaweza kuwepo tu yenyewe, bila kutegemea uwepo wa sayari nyingine kama mars, Jupiter kwa mfano, katika mfumo wetu wa jua?
 
Mkuu hili swali limekaa kitaalamu zaidi,
Sijui ni kwa kiasi gani sayari zingine zinachagia mfumo wetu wa solar system kuwa hivi ulivyo na kuifanya dunia kuendela na mzunguko iwapo zitakua hazipo

Kwa hisia nadhani sayari zote zilizopo ndio zinaleta balance hii tuliyo nayo sasa
 
Mkuu, nakubaliana na hiki ulichosema.

Sasa mkuu tuacha simulizi za scriptures. Tutazame mambo kiuhalisia. Kwako huu ulimwengu unaeleza nini?
 
Mtu anakwambia Kila kitu hapa ulimwenguni kina muumbaji ila akiulizwa aliemuumba muumbaji ni nani. Kigugumizi kinaanza na maelezo yanakuwa meeeeengi😃 Shenzisana
 
Mtu anakwambia Kila kitu hapa ulimwenguni kina muumbaji ila akiulizwa aliemuumba muumbaji ni nani. Kigugumizi kinaanza na maelezo yanakuwa meeeeengi😃 Shenzisana
Unamaanisha nini unaposema kila kitu hapa ulimwenguni kina muumbaji?

Kila kitu hapa ulimwenguni unajaribu kusema nini? Kwamba kuna kitu (vitu) ulimwenguni na kuna ulimwengu?

Muumbaji maana yake ni nini?
 
Mtu anakwambia Kila kitu hapa ulimwenguni kina muumbaji ila akiulizwa aliemuumba muumbaji ni nani. Kigugumizi kinaanza na maelezo yanakuwa meeeeengi😃 Shenzisana
Hili swali , " Muumbaji aliumbwa na nani " inatakiwa lielekezwe kwa muumbaji mwenyewe ndio atakupa majibu sahihi, Lakini kumuuliza mtu aliyeumbwa swali kama hili logically muulizaji anaonekana ni mpumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…