MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Asante Mkuu,yanaitwaje?daaah..pole sana,sio mataaluma
MatarumaAsante Mkuu,yanaitwaje?
Akili za waafrika si nzuri. Na kweli watu wataanza kunyofoa vyumaIlindwe hiyo kunawatu wanaweza kuja kuing'oa usiku usiku.
Asante Mkuu,yanaitwaje?
Kama ni chuma cha pua..hiyo kitu labda uje na dozer ,winch na excavator..Ilindwe hiyo kunawatu wanaweza kuja kuing'oa usiku usiku.
Kipofu kaona mwezi**mod masahihisho heading isomeke mataruma
Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda Morogoro na treni ya umeme.kutakuwa na vituo sita kati ya hivyo vinne viko katikati,Soga,Kwala,Pugu nk.
Ajira karibia elfu nne zimemwagwa huku 90% wakiwa wazawa.
Kama namuona magufuli anavyonoa mkasi wa ufunguzi.
Matokeo Chanya yasiyokuwa na Mwanya kwa wapigaji na wahujumu Taifa.Matokeo chanya+
Kama ni chuma cha pua..hiyo kitu labda uje na dozer ,winch na excavator..
Na wakifanikiwa kung'oa wa kwanza kuulizwa wawe CHADEMA.
[emoji12] [emoji12] [emoji3] [emoji3]
Sumu ya Chuki na ukabila inakumaliza taratibuuu.Tunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
Kwani ni uongo kuwa watukopeshe tuu kwakuwa tuna fedha za kulipa? sio kauli yangu hiyo, ni kauli "takatifu" toka juuSumu ya Chuki na ukabila inakumaliza taratibuuu.
MSAGA SUMU muongezee dozi huyu maduhuli ili aache kutapatapa.