eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Hahahaha...
Jibu hoja, jpm hakununua Panton Bovu akiwa Ujenzi?? Alipaswa awe jela huyu mtu kama akina Yona na Mramba walivyofungwa wakati ule.
1.3Tril za wapi?
TRA wanakusanya na madeni/pesa za mashirika mengine kama TPA zinachanganywa kama mapato ya TRA, mnadanganywa mnakubali..?
Gawio..unajua maana ya Gawio?
Yani KICHAA cha JPM sasa ni dhahiri na kimewa impact nyie Mataahira yote ya pale Lumumba.
Nimewahi kuwa mwalimu. Darasani kila mmoja ana UELEWA WAKE. Mwalimu anapofundisha darasani, labda sema Jumatatu, wanafunzi wengine wanaelewa hapo hapo, wengine watapata MAANA ya somo na kuelewa siku ya jumanne, wengine jumatano, na kuendelea MPAKA baada ya mwezi.
Kwa hiyo sishangai kuona wengine MPAKA SASA hawajaelewa anachokifanya RAIS. Acha tuache kipindi cha WAKATI kipite, utaelewa tu.