inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
hahahaa anko bna anazinguaga sana,sasa si tuende kwenye benki zetu kukopa!!..Tunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa anko bna anazinguaga sana,sasa si tuende kwenye benki zetu kukopa!!..Tunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
Hapo ndio anatuchanganya kabisa. Lakini sisi bahati mbaya tunapiga makofi tuu.hahahaa anko bna anazinguaga sana,sasa si tuende kwenye benki zetu kukopa!!..
Hasara ya kuongozwa na Kichaa.Tunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
Kwani kuna mtu alisema kuwa haliwezekani?walichokataa watu ni kuongopewa kuwa eti tunaijenga kwa pesa za ndani!!akiwa mwanza anasema hiyo SGR,pesa tunayo tunaijenga kwa pesa zetu,akiwa morogoro SGR,tumewaomba ndugu zetu wa uturuki watusaidie kujenga SGR ,na wako tayari,huku tena unasikia mzee wa mipango ambaye hana mipango mala kuna mkopo wa masharti nafuu tumeupata wa dola bilioni tano kujengea SGR!!hapo watu ndio wanachoka!!kama watu walikula nyasi ndege mkangafu ikanunuliwa itakuja kuwa hiyo!!hata mseme kuwa kuna fly over inajengwa toka dar hadi chato itajengwa tu kwani ,usipokuwa na vipaumbele unaona bora watu wafe ila ulilokusudia lifanyike sawa!!mbona mobutu aliyafanya hayo tena kjijini kabisa!!leo mnakuja tena na fly over coco beach to aghakani!!kweli kazi ipo
Hapo ndio anatuchanganya kabisa. Lakini sisi bahati mbaya tunapiga makofi tuu.
Sasa mpwa kama fedha unazo kwa nini unakopaTunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
Kama wanaweza kushirikiana na wanaotudai ili ndege zisifike nchini ndani ya muda uliopangwa, watashindwa vipi kuhujumu kitu chenye faida kwa Tanzania nzima!!.Ilindwe hiyo kunawatu wanaweza kuja kuing'oa usiku usiku.
**mod masahihisho heading isomeke mataruma
Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda Morogoro na treni ya umeme.kutakuwa na vituo sita kati ya hivyo vinne viko katikati,Soga,Kwala,Pugu nk.
Ajira karibia elfu nne zimemwagwa huku 90% wakiwa wazawa.
Kama namuona magufuli anavyonoa mkasi wa ufunguzi.
Ndio yale ya Simba na Yanga mmoja akifungwa mwingine anang'oa viti vya uwanja wao.Inasikitisha sana kwa mtanzania mmoja kuihujumu nchi yake, kuhujumu mahali anapopaita nyumbani, kuhujumu kitu pekee ambacho ni cha kwake kwa asilimia 100.
ndio mana wanapata tabu sanaMatokeo Chanya yasiyokuwa na Mwanya kwa wapigaji na wahujumu Taifa.
Acha unaaHakuna kinchoshndana hata tukisema tunaweka flyng over toka dar hadi mwanza au tulete bomba ya mafuta toka uarubuni.shda je ipo kwnye mkakati?athari yake ikoje kwnye uchumi?je nikapao mbele yetu?tunachangamoto mengi ya muhimu kuliko hayo.shule zetu hazina walimu wakutosha na madawati vitabu hosp zetu nayo hvyo tuna t scan moja nch nzima.maji ndyo tusiseme.mambo ni mengi sna.tungeboresha huduma za jamii kwanza
JPM is the real dealBravo my beloved President JPM
Bravo my beloved country TANZANIA
Tutaelewana tu. Hata Mimi nakumbuka nilivyokuwa darasa la 5 nilitaka kuacha Shule. Lkn mama yangu akakomaa na Mimi, MPAKA akanihamishia mbali kwa mjomba wangu ili niondokane na marafiki wapotoshaji. Mazingira yale ugenini yakanibadirisha kabisa. MAANA nilikuta watoto wa anko wanasoma buku hatari. Na Mimi nikaanza kupiga BUKU MPAKA anko akasema KWELI dada yangu ulifanya la MAANA kumhamisha. Nilifaulu na kuchaguliwa shule za kipaji maalum. Basi nikawa focused katika maisha MPAKA leo hii.
UKWELI ni KUWA, mwanzoni sikuwa nimemuelewa mama yangu. Lkn baada ya miaka mingi, nikaanza kumuelewa, na sasa namuombea tu kwa Mola ambariki.
Hivyo hata kwa RAIS wetu, weengi hawatamuelewa kwa SASA, lkn baadaye watajilaumu kwa kutoelewa. Wengine wataanza kumbariki.
Akili zetu zina matatizo katika utendaji kazi. Wajapan walifungwa na Belgium lakini mechi ilipomalizika wakasafisha mazingira ya majukwaa, ni watu wanaojielewa, sisi hatujielewi.Ndio yale ya Simba na Yanga mmoja akifungwa mwingine anang'oa viti vya uwanja wao.
hahhahhahhahh haswaaaaa watakuja na upotoshajiChadema huko waliko mavi yanagonga chupi
Mkuu unaonekana unapenda sana zile sinema za kisayansi. Upo very scientific, safi sana.bado tupo nyuma sana .treni za umeme ni teknolojia ya zamani.teknolojia ya sasa hiv ni hyperloop,yaan ni transport system ambayo inafika speed ya 1000km/hr. mzee magu angeleeta hyperloop ningemkubali
teknolojia nyingine ambayo ni mpya ni ya kutumia laser technolgy for air transport hapa tunaweza safiri dunia nzima for just nusu saa tu, na tunaweza travell kwa spid ya 30 percent of the speed of light
mzee magu ukitaka nikupigie salute lete hyperloop, laser technology kwenye industry ya transportation