**mod masahihisho heading isomeke mataruma
Mungu mkubwa ule mradi tuliombiwa hatuuwezi leo wanatandanza mataruma ya reli ,yaani ni kama ndoto eti baada ya mwaka mmoja watu watakuwa wanaenda Morogoro na treni ya umeme.kutakuwa na vituo sita kati ya hivyo vinne viko katikati,Soga,Kwala,Pugu nk.
Ajira karibia elfu nne zimemwagwa huku 90% wakiwa wazawa.
Kama namuona magufuli anavyonoa mkasi wa ufunguzi.
sio kweli mataruma bado kabisa na kwa taarifa sahihi hata kutengenezwa bado hayajaanza. matarajio ni labda septemba hiyo kazi ya kutandaza reli itaanza, tazameni video hiyo mtasikia, mpaka sasa ujenzi ni asilimia 16 tu kwa hiyo kazi ya mayaruma bado