Mungu mkubwa,hatimaye wameanza kutandanza mataaluma ya reli ya Standard gauge


sio kweli mataruma bado kabisa na kwa taarifa sahihi hata kutengenezwa bado hayajaanza. matarajio ni labda septemba hiyo kazi ya kutandaza reli itaanza, tazameni video hiyo mtasikia, mpaka sasa ujenzi ni asilimia 16 tu kwa hiyo kazi ya mayaruma bado
 
Kwani ni uongo kuwa watukopeshe tuu kwakuwa tuna fedha za kulipa? sio kauli yangu hiyo, ni kauli "takatifu" toka juu
Sasa kwenye hiyo kauli cha ajabu kipi kinachokushangaza.?
 
Mzee baba kuna wenzetu huko watakuja kuiloga hii reli ili mataruma yageuke sponge 😀😀😀😀😀😀

Vigagula vya hii nchi vitapata tabu sana 😛
 
Hasara ya kuongozwa na Kichaa.
Hahaha kichaa aliepandisha gawio kwa mashirika ya umma kutoka billion 40 mwaka 2015 alivyochukua nchi mpaka billion 800 kasoro ndani ya miaka 2.5 huyo ni kichaa mzuri sana

Makusanyo kwa mwaka kutoka billion 850 kwa mwezi mpaka trillion 1.3 ongezeko la zaidi ya billion 500, huo ukichaa na mimi nautaka

Kigagula utapata tabu sana
 

Naona unatuletea MAMBO ya animation and fixation world.
 
Miundombinu ya hii reli itakua na tight surveillance equipments sio za nchi hii, haitakua holela kama ya mjerumani
 
Ndio maana Mungu alimchapa yule msaliti na mtetezi wa mabepari
 
Mkuu unaonekana unapenda sana zile sinema za kisayansi. Upo very scientific, safi sana.
mkuu sio sinema hizo ni reality,teknolojia zipo tayari hyperloop ndo technolgy ya sasa ikiongozwa na mr elon musk na tech ya laser ipo kwaenye majaribio ya mwisho zote zinaongozwa na elon musk,
 
Mmmmh em peleka upuuzi huko unaongea upumbavu gani hapa?

Hizo ajira zaidi ya 4000 kwenda wizara ya afya hujaziona juzi?

Ajira zaidi ya elfu 5000 kwenda wizara ya elimu hujaziona juzi?

T scan ndio kitu gani?
Mimi Najua CT scan ambazo JPM kazinunua zaidi ya 5 na MRI zimefungwa, x-rays kwenye kila hospital ya mkoa na wilaya na mpango wa kila kata kua na kituo cha afya upo 65%

Hujui kitu kaa kimya
 
Nenda kampelekee hiyo train hawara yako sisi ya umeme inatutosha
 
Hahahaha...
Jibu hoja, jpm hakununua Panton Bovu akiwa Ujenzi?? Alipaswa awe jela huyu mtu kama akina Yona na Mramba walivyofungwa wakati ule.
1.3Tril za wapi?
TRA wanakusanya na madeni/pesa za mashirika mengine kama TPA zinachanganywa kama mapato ya TRA, mnadanganywa mnakubali..?
Gawio..unajua maana ya Gawio?
Yani KICHAA cha JPM sasa ni dhahiri na kimewa impact nyie Mataahira yote ya pale Lumumba.
 
Bado tuu huoni cha kushangaza hapo? Pole sana bwana mkubwa!
Anyway ngoja nikupe darasa japo la juu juu

Ili nchi iwe na sifa za kupata mkopo kwenye taasisi au mataifa ya Nje lazima awe na uwezo wa kulipa katika makusanyo yake ya kila mwezi baada ya kutoa government expenditures zote muhimu.

Hivyo sisi bado tunapesa za kutosha za kuweza kuhudumia mkopo wowote mpya utakaokuja baada ya kutoa matumizi ya serikali na marejesho mengine tunayoendelea kulipa katika taasisi na mataifa tulipokopa.

Hiyo ndio mantiki ya hiyo kauli kwa PM wa Korea na yeye alimuelewa JPM vizuri sana sababu ni lugha ya wanaoelewa national economics sasa wewe lazima ikupe tabu kuelewa sababu hujui hata namna mataifa yanavyokopa
 
Nenda kampelekee hiyo train hawara yako sisi ya umeme inatutosha
Una matatizo ya akili.nyie ndyo wale mnaonufaika na sytem.kwhyo ww niwakusamehe bure.hujui hata bibi yako anaishije vjjn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…