Mungu mkubwa,hatimaye wameanza kutandanza mataaluma ya reli ya Standard gauge


Nimewahi kuwa mwalimu. Darasani kila mmoja ana UELEWA WAKE. Mwalimu anapofundisha darasani, labda sema Jumatatu, wanafunzi wengine wanaelewa hapo hapo, wengine watapata MAANA ya somo na kuelewa siku ya jumanne, wengine jumatano, na kuendelea MPAKA baada ya mwezi.
Kwa hiyo sishangai kuona wengine MPAKA SASA hawajaelewa anachokifanya RAIS. Acha tuache kipindi cha WAKATI kipite, utaelewa tu.
 

Kuna kitu mkuu hawakielewi. Kinaitwa credit rating. Our creditworthiness is high, this is why any ONE of the lenders is confident to give us loan.
 
Kuna kitu mkuu hawakielewi. Kinaitwa credit rating. Our creditworthiness is high, this is why any ONE of the lenders is confident to give us loan.
exactly,
For instance our current debt sustainability analysis shows tupo njema kabisa we are absolutely innocent

Tanzania debt ni 31.2 per cent of GDP as of June 2018 – well below the red line of 70 per cent, we could double it and still remain safer

Sasa nashangaa hawa wasiojua hili wala lile kutaka kuwa Wachambuzi kwa wasilolijua
 
duh.hufai hata kuwa member wa jf. you are not a great thinker
Wewe ndio great thinker unaeongelea proposal, hiyo hyperloop ni kitu ambacho kipo kwenye makaratasi ni imagination ideas hazipo in real life bapo wala hazitakua kwa miaka 30 ijayo.

Sasa hapa tunaongelea sensitive issues wewe unatuletea ndoto za usiku.
 
Umeanza vizuri ila umemalizia utumbo....
 
Miundombinu ya hii reli itakua na tight surveillance equipments sio za nchi hii, haitakua holela kama ya mjerumani
Tusubiri tuone mkuu, binafsi nina wasiwasi sana, hii nchi ina watu wa hovyo sana.
 
hiyo bangi uliyovuta leo umevutia tundu lipi? maana naona imekurudisha miaka 30 nyuma mpaka hujui kitu gani kinaendelea ulimwengu wa sasa.
 
Jifunze kuandika basi..
 
Hypreloop bado ipo kwenye concept na testing.. na bado sio viable mode ya transport kwa cargo.

Hyperloop ni expensive na kwa design ya sasa sio kwa ajili ya mass transit.

California wangeona hyperloop ni ya maana wasingekuwa wanajenga high speed train kati ya LA na San Francisco.

So yeah hyperloop ndiyo new sexy but not attractive kwa uchumi wetu.
 
Tunawaalika Korea waje watukopeshe fedha za kujenga reli. Fedha za kuwalipa tunazo kabisa kwenye mabenki yetu.
ni mikopo kwenda mbereeee na huku PESSA IPOO HATUNA SHIDDAA na wara hatukopi tunatumia codi zenu wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…