Mungu na Shetani: Nani kaua zaidi?

Watu wamekula mana miaka nenda rudi, wakalalmika tu, mungu kawaua ..
What's wrong with God's thinking?
 
Vita,ajali,ugaidi,ujambazi,ugomvi,kujiua,kurogana,.....aina hii ya vifo sjui umeweka upande gani
 
Sijui kwanini umeweka hii mistari.. .
Haitetei chochote kuhusu uuaji na ukatili wa mungu.
Sijamaliza endelea hapa chini usome

Yohana 1:1-18

1 Hapo mwanzo, kabla ya kuwapo kitu kingine cho chote, aliku wapo Neno. Huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye alikuwa Mungu.

2 Tangu mwanzo Neno amekuwa na Mungu.

3 Vitu vyote viliumbwa na yeye, wala hakuna cho chote kilichoumbwa ambacho hakukiumba.

4 Uzima ulikuwa ndani yake na uzima huo ndio ulikuwa nuru ya watu.

5 Nuru hiyo huangaza gizani na giza haliwezi kamwe kuizima.

6 Mtu mmoja aitwaye Yohana alitumwa na Mungu

7 awaambie watu kuhusu hiyo nuru, ili kwa ushuhuda wake wapate kuamini.

8 Yohana mwenyewe hakuwa ile nuru. Yeye alitumwa kuishuhudia hiyo nuru.

9 Nuru halisi ambayo inawaangazia watu wote ilikuwa inakuja ulim wenguni.

10 Neno alikuwepo ulimwenguni, lakini japokuwa aliumba ulimwengu, watu wa ulimwengu hawakumtambua!

11 Alikuja nyumbani kwake, lakini watu wake hawakumpokea!

12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu.

13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe.

14 Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utukufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.

15 Yohana alishuhudia habari zake, akatangaza: “Huyu ndiye yule niliyewaambia kuwa, ‘Yeye ajaye baada yangu ni mkuu kuliko mimi kwa kuwa alikuwapo kabla sijazaliwa.”’

16 Na kutokana na ukamilifu wake, sisi sote tumepokea neema tele.

17 Musa alituletea sheria kutoka kwa Mungu, lakini Yesu Kristo ametuletea neema na kweli.

18 Hakuna mtu aliyemwona Mungu wakati wowote. Lakini Mwanae pekee, ambaye ana uhusiano wa karibu sana na Baba yake, amemdhihirisha Mungu kwetu.

Sijamaliza naendelea...
 
Mpango wa Mungu ulikuwa mwanadamu Aishi milele huku duniani aendeleze ufulme wake wa milele duniani

Ila mwanadamu Kwa kushawishiwa a shetani akakubali na kufanya maamuzi Kwa hiari yake akachagua kufa

16 Bwana Mungu akamwagiza huyo mtu, akisema, Matunda ya kila mti wa bustani waweza kula,
Mwanzo 2:16

17 walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakapokula matunda ya mti huo utakufa hakika.
Mwanzo 2:17




Najua umejazwa uongo na baba wa uongo Ila kiukweli aliyesababisha kifo ni shetani mwenyewe kwa kuwashawishi wanadamu wachague kifo

4 Nyoka akamwambia mwanamke, Hakika hamtakufa,
Mwanzo 3:4

5 kwa maana Mungu anajua ya kwamba siku mtakayokula matunda ya mti huo, mtafumbuliwa macho, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.
Mwanzo 3:5

6 Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alitwaa katika matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.
Mwanzo 3:6
 
Ingekuwa wewe ungefanya nini??
Mimi ningewabadilishia menu.

Kama aliweza kuwapa manna, alishindwaje kuwapa nyama na misosi walikuwa wanakula misri?
 
huenda mtoa mada umekula ugali leo...sasa naanza kuamini ugali haufai kwa afya ya akili
 
huenda mtoa mada umekula ugali leo...sasa naanza kuamini ugali haufai kwa afya ya akili
Jibu hoja kwa hoja mkuu.
Kejeli za oh ugali , mara nini hazisaidii chochote.

Je una hoja za kupinga hoja zangu?
 
Shetani ni muuaji kwa sababu yeye ndiye aliyesababisha wanadamu wote tunakufa kwa kuanzia kule bustani ya edeni..

Sasa jiulize wewe kwanini utakufa na chanzo chake ni nani?
 
Jibu hoja kwa hoja mkuu.
Kejeli za oh ugali , mara nini hazisaidii chochote.

Je una hoja za kupinga hoja zangu?
hoja haipingwi kwa hoja....hoja ikishakua kwa mtu haibadishi ila inalingwanishwa...
ndio maana nimelinganisha hoja yako na ugali uliokula leo
 
Watu wamekula mana miaka nenda rudi, wakalalmika tu, mungu kawaua ..
What's wrong with God's thinking?
Kwani hiyo Mana waliomba Mungu awape au Mungu ndo akiamua kuwapa Aina hiyo chakula ?
Je unafikiri Mungu hakujua umuhimu wa hiyo Mana kulingana na mazingira waliokuwa nayo ?
 
Stupid question from a stupid man
 
Kwa andiko hili unathibitisha kwamba mungu ni muuaji ila tunajaribu kujustify kuwa anawaua watu kwa kutofuata masharti yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…