Mungu na Shetani: Nani kaua zaidi?

Unaweza kunipa fact za uwepo wako ???
Logical non sequitur fallacy, mjadala ni uwepo wa Mungu, si uwepo wa Kiranga.

Nikiweza kukupa au nisipoweza kukupa, facts za uwepo wangu hayo yote hayathibitishi Mungu yupo.

Thibitisha kwamba Mungu yupo.
 
ACha maneno Mengi na misamiati isiyo kuwa na kichwa Wala miguu

Kabla ya kutaka kujua uthibitisho wa Mungu

Anza na fact za uwepo wako kwanza Kama huwezi kutupa fact za uwepo wako tulia na kubali umeshachanganyikiwa huna ujualo
 
Hapana,

Kama Mungu yupo, atakuwa yupo tu, bila kujali mimi nipo au sipo.

Kama Mungu hayupo, atakuwa hayupo tu, bila kujali mimi nipo au sipo.

Au unataka kusema uwepo wa Mungu wako unategemea uwepo wangu?

Thibitisha Mungu yupo, hiyo ndiyo mada, usiihamishe mada iwe uwepo wangu mimi badala ya uwepo wa Mungu.
 
Wewe jifunze kuandika Kiingereza kwanza kabla ya kujishaua mengine.

"Your totally confused" ndiyo nini sasa?

Unaharibu lugha ya watu tu.
Hiyo hapo akili bandia inakusaidiwa
Maana wewe tayari umeshachanganyikiwa huwezi kuelewa chochote,
Huwezi kukanusha uwepo wa Mungu alafu uwe na akili za uelewa
 
Ndo maana nakuambia umeshachanganyikiwa

Wewe mwenyewe Haina uhakika Kama upo au hapo alafu Unataka ujue uwepo wa mwingine

Usiendelee kuchanganya watu maana wewe mwenyewe hujijui au huujitambui wewe ni nani ?
 
Kwenye nyumba za ibada (kanisani, msikitini na kwenye synagogue) hakuna kipengele cha kuuliza maswali wakati wa ibada. Ni kuitikia tu amen
 
Hiyo hapo akili bandia inakusaidiwa
Maana wewe tayari umeshachanganyikiwa huwezi kuelewa chochote,
Huwezi kukanusha uwepo wa Mungu alafu uwe na akili za uelewa
View attachment 3124012
Hujathibitisha Mungu yupo.

Hutakiwi kuniambia siwezi kukanusha uwepo wa Mungu ambaye hata wewe hujathibitisha yupo.
 
Ndo maana nakuambia umeshachanganyikiwa

Wewe mwenyewe Haina uhakika Kama upo au hapo alafu Unataka ujue uwepo wa mwingine

Usiendelee kuchanganya watu maana wewe mwenyewe hujijui au huujitambui wewe ni nani ?
Hujathibitisha Mungu yupo. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Ndiyo maana unataka kunitoa katika reli.

Thibitisha Mungu yupo.
 
SHETANI UNAJUA KWANINI NASEMA SHETANI KWA SABABU SHETANI NI MUUAJI TOKA ZAMANI ALIANZA NA ADAM NA HAWA MPAKA SIKU ZETU ZIKAWA CHACHE TUNAKUFA KATIKA UMRI AMBAO MUNGU HAKUPANGA
mungu wenu dhaifu kweli,,, mipango yake haiaminiki,,, maana kuna siku shetaniiii ataiharibu Tena …Kama Alivyoiharibu Eden ☹️☹️☹️
 
Hujathibitisha Mungu yupo. Huwezi kuthibitisha Mungu yupo.

Ndiyo maana unataka kunitoa katika reli.

Thibitisha Mungu yupo.
Ni mwendawazimu pekee anayedhani atafaulu masomo ya chuo kikuu huku akishindwa kuelewa masomo ya chekechea
 
Ni mwendawazimu pekee anayedhani atafaulu masomo ya chuo kikuu huku akishindwa kuelewa masomo ya chekechea
Hata kama hilo ni kweli.

Kuwepo kwa uwendawazimu nako ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, muwe,a wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Ila najua huna uwezo wa kuelewa hilo.

Na wewe kukosa uwezo wa kuelewa hilo nako ni uthibitisho Mungu huyo hayupo.

Ila hata hilo nalo huwezi kulielewa.
 
Wew ni mfugo tu mbele za Mungu huna umuhimu wowote kama ufati amri zake atakuchinja tu....

We ufunge kuku alafu wakuletee zarau mara wanatoroka mara wanapigana lazima utawachinja na utaacha wale wastarabu........
 
ACha nikubaliane na hili andiko tu ni kweli kabisa

1 Mpumbavu amesema moyoni, Hakuna Mungu; Wameharibu matendo yao na kuyafanya chukizo, Hakuna atendaye mema.
Zaburi 14:1

Unajua maana ya MTU au mwenye sifa hizo

Hata ukimtwanga mpumbavu kwa mchi kinuni pamoja na ngano; Upumbavu wake hautamtoka.

Mithali 27:
22
 
Nakupeleka ignore list, sitaki kujibizana na guluguja asiye na ubongo wala uti wa mgongo.

Kuanzia haoa sitaona post yako yoyote.
Ni vizuri sana maana huna uwezo kujibu hoja zangu zaidi ya ubishi wa kijinga
 
Je na wale wanaojilipua mabomu kwa jina la Mungu wao?
 
Jamaa analalamika kwa tunda moja yeye ndiye mbaya kuliko aliyeuwa mamilioni.
 
Attachments

  • FB_IMG_1727314031800.jpg
    84.2 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…